Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

Yan kwakweli kobazi wa bongo sijui kwann nyinyi huwa ni watu wa kujishtukia shtukia tu....Nyinyi ndio mnaeneza udini hapa duniani badilikeni bhana kuna maisha baada ya hizo dini za kuletwa na mitubwi.
Hata wewe ukishtukiwa shtuka. Neno Kobaz mnalitumia ktk misingi hiyo hiyo ya Udini. halafu mwajifanya hamkusudii udini.
 
Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru

Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida

Sasa jamani ili tumjue kwa uzuri Polepole wa Sasa lazima tumfanyie Murr'ajaa Polepole wa enzi ya Kikwete na wa Magufuli

Nianze na WA Kikwete

Huyu alikuwa kijana mwanaharakati mstarabu mpenda haki alikuwa mwiba mkali kwa serikali ya Jakaya pale tu iliponyesha kuminya haki za watu kiuchmi na kidemokrasia

Alikuwa mlanifu mbobevu wa uminyaji wa demokrasia hata kufikia kutuaminisha kuwa CCM kwenye sanduku huru la kura hawatoboi

Na pia alipigania upatikanaji wa katiba sambamba na kina Warioba na yote haya alionekana ni kijana mwenye mahaba kwa Taifa lake

Polepole wa Magufuli

Huyu alikuwa kiongozi mwandamizi wa chama na mtu wa karibu wa raisi Magufuli
Alishiriki Moja kwa Moja vitendo vya uvunjifu mkubwa wa demokrasia katika uchaguzi wa 2020 akishirikiana na Magufuli walivuruga uchaguzi nchi nzima na kupeleka wabunge wa kuteuliwa na serikali bungeni na kuharibu kabisa karia ya bunge na kulifanya kuwa bunge la hovyo kuwahi kutokea tangia mfumo wa vyama vingi uanze

Polepole wa Samia

Huyu karudi kuwa mwanaharakati anayefichua Siri za serikali akiwa mafichoni

Haonekani Tena kama mtetezi wa wanyonge Bali anaonyesha chuki kubwa haswa kwa mwenyekiti wa chama chake anayeonekana kwamba amejitwalia kwa mabavu tiketi ya ugombea urais kupitia chama cha mapinduzi

Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini

Polepole anaonyesha kuchukizwa sana nautawala mwingine usio wa Imani yake kama wanavyochukia wengi ila wameficha chuki zao

Sikosei kusema Polepole hachukii mienendo ya uvunjifu wa haki wa chama chake Bali huchukia mienendo hii endapo tu itasimamiwa na Mwenyekiti muisilam.
Naomba kutoka hojja
Naunga mkono hoja.
 
Kataa wahuni kwa sasa yaliopita achana nayo
 
Polepole angekuwa ni mpigania haki kweli angeanza tangu wakati Magu yupo madarakani so Polepole wakati TL anapigwa risasi alikuwa wapi na demokrasia ilivyokuwa inakandamizwa alikuwa wapi eti leo hii ndio anakuja front kama mpigania haki.Aseme wamemuweka pembeni kaamua ajitoe mapema na ndio kinacho muuma
 
Upumbafu ulichokiona hapo ni dini tu mashekh wanao pinga ujinga wa awamu hii nao ni wabaguzi wa dini au? inamaana wewe huoni sababu za kupinga utawala huu nchi inaendeshwa kichawa inamaana huoni ukienda kwenye huduma za serikali ni ovyo ila wanaofaidika kutwa ni kusifu tu.

Je maandiko ya kiislam yanataka mumtukuze binadam kuliko hata muumba mwenyewe
Hizo huduma za hovyo za serikali ni zipi na zinatolewa mkoa gani?Ni nje ya nchi au kwenye familia yako?Maana huduma za serikali ni kama elimu,afya,umeme,majina,n.k.Mbona kila ninapoenda napata huduma nzuri tu!Hapo kuna chuki tu za kijinga.Na hizo chuki zinatokana na udini,mfumo dume na ukabila,bac.Ukiondoa chuki hizo za kijinga,utaona Mama anafanya vizuri.Haya anayoyafanya mama kama kukamilisha miradi aliyoiacha magufuli,kuanzisha miradi mipya na kuimaliza kama vituo vya afya na madarasa,n.k,kama angekuwa magufuli anayafanya haya ungeanzisha media maalumu ya kumsifia,kama si kumsujudia.Lkn kwa sababu hupendi mama afanikiwe ktk kuyafanya haya bac unavaa miwani ya mbao.Mimi kwa sasa my president of all time ni JK WA II,anafuata huyu mama.Ni kweli ana mabaya yake mengi lakini ukiyalinganisha na ya magufuli kwa kweli hayaingii hata nusu.Hajafikia hata nusu ya ukatili wa magu.Uzuri sijasimuliwa.Sema watanzania wengi hawana dini ya moyoni.Hata wewe ungekuwa na dini ya moyoni yenye matendo ungenyoosha maelezo.Awamu ya tano ilikuwa ya kikatili kuliko awamu zoootee.Labda uombe mama azidishe ukatili ampite magufuli ili upate kuongea ukweli.Ila kwa ninavyomfahamu huyu mama na kwa maombi tunayomuombea kwa MUNGU hawezi kuwa katili kama Magu.Naamini hata Lisu atatoka tu.Magufuli hakutaka kumuona akiwa hai,akammiminia risasi za kutosha,ila mama hawezi kumfanyia hvyo.I wish atamwachia siku si nyingi.
 
Kwani anayetakiwa kumwachia Lissu ni mama au mahakama
 
Et ninavyo mjua huyu mama wewe huna hata aibu et? nakwambia huduma mbovu mkoa ninao ishi huduma mbovu na watumishi hawaoni hata aibu ni majuzi tu kwenye hospital ya serikali mja mzito ajifunglia nje ya jengo la kujifungulia kwa ajili ya uzembe wa wataalam pia kuna mama amejifungua kwenye kumshona wamemuachia vitambaa ukeni amekaa navyo wiki tano bila kujua ghafla amezidiwa nyumbani kwake kwasababu ya maumivu ya tumbo mme wake amemvua ngua anaona kuna vitu vinachungulia kutokea ukeni amevuta kukuta ni vitambaa vilianza kung'ang'aniana na ngozi baada ya nusu saa amezinduka kwenda hospital wauguzi nikama walifanya makusudi maana hata hawaoneshi kushituka maana wanajua hata mahakama haita wafanya kitu na kwa ilo unataka tumlaumu jpm? wakati jpm ukatili ulikuwepo ila sio wa wazi wazi kama wa huyu mshangazi na jpm hakuwa katili kama huyu mshangazi
 
Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru

Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida

Sasa jamani ili tumjue kwa uzuri Polepole wa Sasa lazima tumfanyie Murr'ajaa Polepole wa enzi ya Kikwete na wa Magufuli

Nianze na WA Kikwete

Huyu alikuwa kijana mwanaharakati mstarabu mpenda haki alikuwa mwiba mkali kwa serikali ya Jakaya pale tu iliponyesha kuminya haki za watu kiuchmi na kidemokrasia

Alikuwa mlanifu mbobevu wa uminyaji wa demokrasia hata kufikia kutuaminisha kuwa CCM kwenye sanduku huru la kura hawatoboi

Na pia alipigania upatikanaji wa katiba sambamba na kina Warioba na yote haya alionekana ni kijana mwenye mahaba kwa Taifa lake

Polepole wa Magufuli

Huyu alikuwa kiongozi mwandamizi wa chama na mtu wa karibu wa raisi Magufuli
Alishiriki Moja kwa Moja vitendo vya uvunjifu mkubwa wa demokrasia katika uchaguzi wa 2020 akishirikiana na Magufuli walivuruga uchaguzi nchi nzima na kupeleka wabunge wa kuteuliwa na serikali bungeni na kuharibu kabisa karia ya bunge na kulifanya kuwa bunge la hovyo kuwahi kutokea tangia mfumo wa vyama vingi uanze

Polepole wa Samia

Huyu karudi kuwa mwanaharakati anayefichua Siri za serikali akiwa mafichoni

Haonekani Tena kama mtetezi wa wanyonge Bali anaonyesha chuki kubwa haswa kwa mwenyekiti wa chama chake anayeonekana kwamba amejitwalia kwa mabavu tiketi ya ugombea urais kupitia chama cha mapinduzi

Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini

Polepole anaonyesha kuchukizwa sana nautawala mwingine usio wa Imani yake kama wanavyochukia wengi ila wameficha chuki zao

Sikosei kusema Polepole hachukii mienendo ya uvunjifu wa haki wa chama chake Bali huchukia mienendo hii endapo tu itasimamiwa na Mwenyekiti muisilam.
Naomba kutoka hojja
Exactly . .chuki zao Kubwa ni uislam wa Samia tu...
 
Back
Top Bottom