Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

Polepole anabadilika kama kinyonga
 
Hakuna cha dini hapo! Kwenye hoja zake ameongea habari za dini? Umemsikiliza au umeambiwa? Kama umeambiwa usizungumze chochote humu. Kwanza msikilize halafu ndipo uone Cha kusema.

Kama umemsikiliza vizuri, na kama una ufahamu tu wa kawaida, kwa hoja zako basi utakuwa hujamwelewa. Vinginevyo kitu ndani yako au nyuma yako kinachokuchochea kuandika haya ama kwa maslahi yako mwenyewe au ya hicho kitu.

Haihitaji elimu kubwa kuelewa anachokisema Polepole. Maana anatumia Lugha yetu mama ya Kiswahili, hatumii codes wala misamiati migumu kwa mtu yeyote kusikia na kuelewa. Zaidi sana labda kwa sababu maalum, umeondolewa ufahamu na uelewa kwa kusudi fulani.
 
mbona makanisa yanafungiwa watu. wanatekwa,kuuwawa lakini huongei
 
Wawa Mkusti unakuwasha unatafuta Bwana wa kukukuna kwa hiyo anachoongelea polepole cha kutekwa na kuuwawa kwa mtu kama Ally kibao nako huko pia utasema anainterest za udini Kibao alikua ni dini Gani? Wewe nawengine ambao hamuoni maovu yanayoendelea kwa kigezo cha udini Mnashenyetwa
 
Pole pole ni mtu kama watu wengine hivyo ana madhaifu. Lakini awamu hii anasema ukweli.
 
Wakati wa mwinyi kanisa lilitoa matako 15, wakati wa mkapa Matamko 5, kikwete matamko zaidi ya 18, magu manne now kila kona na vijana wa kanisa wamechachamaa unadhani hatuoni tunawazoom tu
Kunywa sumu ufe
Nyumbu nyie
 
Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini🥺🥺🥺 haya ni matumizi mabaya ya akili
 
Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini🥺🥺🥺 haya ni matumizi mabaya ya akili
Aisee we jamaa unajua mie nakuheshimu sna
 
Unaweza kuwa sahibi
 
Ulivyoanza kwa kutaja dini yako nikajua tu utakuwa umeandika upoyoyo kama wa Allah.
 
Hata Paulo alikuwa Sauli.
 
Hata hao mashekhe nao ni udini maana wanaamini kuwa mwanamke hawezi kuwa kiongozi (huo nao ni udini)
 
Pole pole ni mtu kama watu wengine hivyo ana madhaifu. Lakini awamu hii anasema ukweli.
Hata Nelson Mandela alishawahi kuulizwa kama yeye ni mtakatifu na alisema “I am not a saint, unless you think of a saint as a sinner who keeps on trying.” Atleast Polepole is trying, maana wachache wamepaza sauti….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…