Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

Yan kwakweli kobazi wa bongo sijui kwann nyinyi huwa ni watu wa kujishtukia shtukia tu....Nyinyi ndio mnaeneza udini hapa duniani badilikeni bhana kuna maisha baada ya hizo dini za kuletwa na mitubwi.
Hata wewe ukishtukiwa shtuka. Neno Kobaz mnalitumia ktk misingi hiyo hiyo ya Udini. halafu mwajifanya hamkusudii udini.
 
Naunga mkono hoja.
 
Kataa wahuni kwa sasa yaliopita achana nayo
 
Polepole angekuwa ni mpigania haki kweli angeanza tangu wakati Magu yupo madarakani so Polepole wakati TL anapigwa risasi alikuwa wapi na demokrasia ilivyokuwa inakandamizwa alikuwa wapi eti leo hii ndio anakuja front kama mpigania haki.Aseme wamemuweka pembeni kaamua ajitoe mapema na ndio kinacho muuma
 
Hizo huduma za hovyo za serikali ni zipi na zinatolewa mkoa gani?Ni nje ya nchi au kwenye familia yako?Maana huduma za serikali ni kama elimu,afya,umeme,majina,n.k.Mbona kila ninapoenda napata huduma nzuri tu!Hapo kuna chuki tu za kijinga.Na hizo chuki zinatokana na udini,mfumo dume na ukabila,bac.Ukiondoa chuki hizo za kijinga,utaona Mama anafanya vizuri.Haya anayoyafanya mama kama kukamilisha miradi aliyoiacha magufuli,kuanzisha miradi mipya na kuimaliza kama vituo vya afya na madarasa,n.k,kama angekuwa magufuli anayafanya haya ungeanzisha media maalumu ya kumsifia,kama si kumsujudia.Lkn kwa sababu hupendi mama afanikiwe ktk kuyafanya haya bac unavaa miwani ya mbao.Mimi kwa sasa my president of all time ni JK WA II,anafuata huyu mama.Ni kweli ana mabaya yake mengi lakini ukiyalinganisha na ya magufuli kwa kweli hayaingii hata nusu.Hajafikia hata nusu ya ukatili wa magu.Uzuri sijasimuliwa.Sema watanzania wengi hawana dini ya moyoni.Hata wewe ungekuwa na dini ya moyoni yenye matendo ungenyoosha maelezo.Awamu ya tano ilikuwa ya kikatili kuliko awamu zoootee.Labda uombe mama azidishe ukatili ampite magufuli ili upate kuongea ukweli.Ila kwa ninavyomfahamu huyu mama na kwa maombi tunayomuombea kwa MUNGU hawezi kuwa katili kama Magu.Naamini hata Lisu atatoka tu.Magufuli hakutaka kumuona akiwa hai,akammiminia risasi za kutosha,ila mama hawezi kumfanyia hvyo.I wish atamwachia siku si nyingi.
 
Kwani anayetakiwa kumwachia Lissu ni mama au mahakama
 
Et ninavyo mjua huyu mama wewe huna hata aibu et? nakwambia huduma mbovu mkoa ninao ishi huduma mbovu na watumishi hawaoni hata aibu ni majuzi tu kwenye hospital ya serikali mja mzito ajifunglia nje ya jengo la kujifungulia kwa ajili ya uzembe wa wataalam pia kuna mama amejifungua kwenye kumshona wamemuachia vitambaa ukeni amekaa navyo wiki tano bila kujua ghafla amezidiwa nyumbani kwake kwasababu ya maumivu ya tumbo mme wake amemvua ngua anaona kuna vitu vinachungulia kutokea ukeni amevuta kukuta ni vitambaa vilianza kung'ang'aniana na ngozi baada ya nusu saa amezinduka kwenda hospital wauguzi nikama walifanya makusudi maana hata hawaoneshi kushituka maana wanajua hata mahakama haita wafanya kitu na kwa ilo unataka tumlaumu jpm? wakati jpm ukatili ulikuwepo ila sio wa wazi wazi kama wa huyu mshangazi na jpm hakuwa katili kama huyu mshangazi
 
Exactly . .chuki zao Kubwa ni uislam wa Samia tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…