goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 416
- 567
Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko nyuma, lakini jilidhishe mtu unaye mchukuwa vipi uko nyuma.
Jamaa kaenda round about kwa baati mbaya kaingia mtaloni mpaka ndani, na ukizingatia niwana ndoa hawa, kizazi kinamengi hiki, ndoa ipo ICU, mwanamke anachepuka kwa nyuma, anajuwa wewe sio mkaguzi uko, kwaiyo anapiga mchezo na wewe hujui.
Sasa jamaa ananiomba ushauri hapa kwenye mesege- kila nikiandika nikitaka kutuma nafuta, nashindwa cha kumshauri!...................
ndoa nayo ni ngumu, hizi kesi nazo zinaukakasi sana, kuoa bado ni ukakasi sana, ukizingatia 0713 ni fashion sikuizi!