Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Be calm

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
3,766
Reaction score
8,959
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao. La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza,hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni....afu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Ndo mkome nani kawaambia kunyonyana ndo mapenzi!Si ulinyonya nyonyo kwa mamaako?!!
 
Back
Top Bottom