Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Week zima mkuu? Haiwezekani
Mi nakwambia kuna watu wiki nzima hawapigi mswaki na hawanuki hata chembe. Wengine hata mwezi yaanii hanuki

Kuna wenzangu na mie wanapiga mswaki asubuhi na jioni ila wanatema kama mavi.

Midomo hii ina changamoto sana.

Natamani nisingekuwa na mdomo nizungumze kwa kutumia komwe.

Nachoka kupiga mswaki 🥴
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom