Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao. La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Kwani taarifa hatuja kupa kuwa kunyonya denda ni ushuani tu.....sasa wewe buguruni sijui mbagala gongolamboto...buza....vingunguti kiembe mbuzi ....na denda wapi na wapi mkuu mambo angalieni na mitaq
 
Mim mapenz yenu yashanishinda aisee.Kila mtu masikio juu kama kisungura Hatarii.
 
Back
Top Bottom