Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao. La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Ukianza kufuatilia mambo ya falagha za mapenzi utaonekana mjuaji.

Enhee, umeliona hilo la meno tuu mbona maeneo mengine nyeti haujashauri wayaandae kwa usafi kabla hawajayaruhusu kutumika?
 
Sababu huwa ni anuai.

Mojawapo ya sababu huwa ni ujinga kuhusu elimu ya usafi wa kinywa.

Nilishawahi kutoa somo miaka kadhaa iliyopita.


Naona kuna haja tena ya kutoa refresher course hapa.
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom