Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Yani huwezi amini lile kosa hata nikikuelezea utahamaki utamaliza magazine mbili hewani 😀 😀 😀 . nilipewa ban kwa hisia tu sio kwa ushahidi wa kosa. eti kisa niliweka tangazo lakumtafuta rafiki yangu niliyepotezana nae jamani
Haha huo uzi uko wapi?
 
Yani huwezi amini lile kosa hata nikikuelezea utahamaki utamaliza magazine mbili hewani 😀 😀 😀 . nilipewa ban kwa hisia tu sio kwa ushahidi wa kosa. eti kisa niliweka tangazo lakumtafuta rafiki yangu niliyepotezana nae jamani To yeye
🤣🤣🤣hapana haiwezekani cute
 
the impossible happened, ikawezekana kwangu kila kitu kinawezekana kwa jina la kumbebisha mod
Haha mod gani huyo unataka kumbebisha? Akikubali mwambie arudishe mandhari ya PM ya zamani. Nashindwa kusoma PM za watu
 
Sema mzee kuna watu wananuka mdomo ile mbaya.

Nahisi ni ugonjwa wa fungus ule.

Kuna wengine hata wasiposukutua wiki nzima hawanuki mdomo.
Sababu huwa ni anuai.

Mojawapo ya sababu huwa ni ujinga kuhusu elimu ya usafi wa kinywa.

Nilishawahi kutoa somo miaka kadhaa iliyopita.


Naona kuna haja tena ya kutoa refresher course hapa.
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao. La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Hii movie kali sana! Waache watu wapate raha, as long as wanapendana nothing else matter!
 
Back
Top Bottom