Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Video ya mabusu ama nene[emoji16]

Wee Haujawahi kutana na wa aina hio Smart?? Mtu kinywa kinatema hatariii au meno yameozaaa sijui ndio yameungua akicheka [emoji1783][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati mnatongozana mnakuwa na umbali mrefu? Mpaka usijue huyu jirani anatema au?[emoji3]
 
Kama huswaki lazima meno yako yataoza tu, usisingizie denda

Tumia mouthwash, swaki vyema, muone mganga wa meno walau mara moja kwa mwaka
Kama una lishe mbovu hata uswaki vp mdomo kunuka na meno kuoza iko palepale, na kuelewa hii afya ya kinywa ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom