Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
[emoji119]
Sa itakuwaje?[emoji134]

usimsemee mpenzi wako kua ana nuka mdomo
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
[emoji119]
Sa itakuwaje?[emoji134]
Hivi mnawezaje kunyonyana mate?,Aisee wanawake mna roho ngumu sana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kama hivi...🀣
 
Attachments

  • download (4).jpg
    download (4).jpg
    8.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom