Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Unaogopa kunyonya ulimi? Kuna mabaharia hapa wananyonya Hadi anus. Ngoja niwaite makapteni

Mzee wa kupambania
mzabzab
DR SANTOS
"GuDume said:
Nikambembeleza mwishow akawa amenikumbatia akilia kwa kwikwi. Nlipomshika mara akawa kama pumz zinambana akalegea tukaishia ku do.tuka do tena. Na baadaye tena she was good kama mama yake.alininyonya mpaka katikat ya makalio yangu."

hajui wataalamu wa hizi kazi huyu 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
 
Meno ya rangi ya gold au rangi nyingine tofauti na nyeupe huwa ni kwa sababu ya wingi wa madini, mfano calcium ambayo chanzo chake kiasi kikubwa ni maji magumu, na pia aina ya vyakula hasa vinavyolimwa katika ardhi yenye hayo madini. Hayo meno huwa ni magumu sana na imara, sio rahisi kutoboka au kuharibika kama meno meupe.

Very rare mtu mwenye meno ya gold kunuka mdomo, labda awe hapigi mswaki.

Cha ajabu ni kwamba, watu wengi wenye meno meupe na wanaweza kuonekana na kinywa safi kwa sababu ya weupe wa meno, unakuta wananuka midomo.

Na jambo jingine, watu wanaonuka mdomo wengi huwa hawajui, unless atokee mtu ambaye yupo honest ajilipue na kumwambia mtu.

Kunuka mdomo husababishwa na vitu vifuatavyo:

1. Kutokupiga mswaki au kutokupiga mswaki vizuri, na hivyo kinywa hasa katikati ya meno kuwa na mabaki ya chakula, ambayo huoza na kuanza kutoa harufu. Uozaji huo huchochewa na bacteria waliopo mdomoni, wanakuwa catalyst wa kuyashambulia na kuyafanya yaoze haraka, mfano kwa kutengeneza dutu au chemikali kama acidi kutokana na mabaki. Hapa inategemea mabaki yanakaa mdomoni kwa muda gani, hao bacteria ni wengi kiasi gani, na pia wapo active kwa kiwango gani.

2. Kupendelea kunywa vitu vya moto sana mara kwa mara. Hii huua bacteria fulani ambao wapo kwa wingi sana mdommoni, kuwafanya waoze na mdomo au kinywa kuanza kutoa harufu.

3. Tatizo linaloanzia tumboni kwa sababu mbalimbali, mfano vidonda vya tumbo, cancer, etc.,

Kama tatizo la kunuka kinywa sababu ni namba 1, hilo huweza kumalizika kwa kupiga mswaki ipasavyo.

Kunuka mdomo ambako chanzo ni 2 na 3 huwa ni tatizo sugu sana. Ndio maana unaweza kushuhudia dada ana meno meupe na kinywa chake kinaonekana kisafi, lakini akiongea akiwa karibu na wewe unasikia harufi kali.

Wengine wanajua midomo au vinywa vyao hunuka, lakini wengi huwa hata hawana habari.
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Kwenye huu uzi utashangaa hamna hata mmoja anaenuka. Wote wapo fresh. Sa sijui hao wanaonuka hawana smartphone na hawapo humu
 
Unakuta hatoa harufu yoyote,mchekeshe sasa...😳
Mdada umenichekesha sana...
Kuna mdada tulisoma na chuo yani alikua ananuka mdomo uwii sema ni kichwa hatari lazima umfate akufundishe Accounts maana ndo alikua mtaalamu...yaniii nilikua natamani nimwambie ila daah..sasa hivi kaolewa na anafamilia yake huwa najiuliza hivi inakuwaje wkt wa hilo tendo la njiwa...
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
[emoji119]
Sa itakuwaje?[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdada umenichekesha sana...
Kuna mdada tulisoma na chuo yani alikua ananuka mdomo uwii sema ni kichwa hatari lazima umfate akufundishe Accounts maana ndo alikua mtaalamu...yaniii nilikua natamani nimwambie ila daah..sasa hivi kaolewa na anafamilia yake huwa najiuliza hivi inakuwaje wkt wa hilo tendo la njiwa...
Watu wenye akili huwa tunanuka midomo
 
Mdada umenichekesha sana...
Kuna mdada tulisoma na chuo yani alikua ananuka mdomo uwii sema ni kichwa hatari lazima umfate akufundishe Accounts maana ndo alikua mtaalamu...yaniii nilikua natamani nimwambie ila daah..sasa hivi kaolewa na anafamilia yake huwa najiuliza hivi inakuwaje wkt wa hilo tendo la njiwa...
😂😂😂 sisi wenye meno mng'ao tunapambana na wachumba zetu....mnuka mdogo kawekwa ndani...
Hii dunia hii...haiko fair kabisa😪
 
Back
Top Bottom