Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Watu wana tafunaga mpaka meno nilijuaga ni lips na ulimi tu 😊
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza,
1704978449982.png
 
Back
Top Bottom