Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Ila kweli jmn
Mi mpk sipendi kiss sbb watu wengine wananuka midomo!🙈😆
Nikipata relationship inayopenda haya makitu sijui itakuaje

Jmn Nishang'oa meno inatosha😅

Ila natania shida ya meno haitokani na kiss!
 
Back
Top Bottom