Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Haya mambo ya madenda haya Huwa tunabeba mengi san Kuna siku nilijikuta mpka na kipunje Cha wali mdomon, na cjala wali cku hyo🤒
Bora wewe Mimi Kuna siku nilikata denda kumbe mwenzangu anatafuna vipipi mdomoni😂😂😂😂, afu akanichomekea🖐️🖐️ nikajikuta nimekula vipipi vya wanawake🤔🤔🤔
 
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza,hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.

Kuna watu wameoza meno jameni....afu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
🙌
Sa itakuwaje?🙆
Kwani ukinyonya mwenye meno yameoza na yako yanaoza?
 
Back
Top Bottom