Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wacheka nini tena jamani
Mia miaUnajua nisivyo na shaka na wewe 🤣
Video ya mabusu ama nene😁
Sijawahi...Video ya mabusu ama nene😁
Wee Haujawahi kutana na wa aina hio Smart?? Mtu kinywa kinatema hatariii au meno yameozaaa sijui ndio yameungua akicheka 🤠😁
Sijawahi...
Itakuwa ni jinsi unavyojiweka🤣🤣🤣Kwani niliazaga lini? Aisee humu jf mbona mie hamnisi gizii mambo mazuri ni mambo ya hovyo tuu
Mm bado mtotoMh,kama hujui vile
Umenisahau mimi mbona Restless HustlerUnaogopa kunyonya ulimi? Kuna mabaharia hapa wananyonya Hadi anus. Ngoja niwaite makapteni
Mzee wa kupambania
mzabzab
DR SANTOS
😅😅😅🧢Umenisahau mimi mbona Restless Hustler
Hamna hawa wananipakazia tuu mambo bwana hamnaItakuwa ni jinsi unavyojiweka🤣🤣🤣
[emoji3][emoji3][emoji3] tulia basi ha ha ha[emoji23] upo seriously?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati mnatongozana mnakuwa na umbali mrefu? Mpaka usijue huyu jirani anatema au?[emoji3]Video ya mabusu ama nene[emoji16]
Wee Haujawahi kutana na wa aina hio Smart?? Mtu kinywa kinatema hatariii au meno yameozaaa sijui ndio yameungua akicheka [emoji1783][emoji16]
Kama una lishe mbovu hata uswaki vp mdomo kunuka na meno kuoza iko palepale, na kuelewa hii afya ya kinywa ni ngumu sana.Kama huswaki lazima meno yako yataoza tu, usisingizie denda
Tumia mouthwash, swaki vyema, muone mganga wa meno walau mara moja kwa mwaka