Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

Lakini wanapata jeuri kwakuwa wana uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi, wangeambiwa wanalipwa kwa kwa idadi ya wateja wanaowafungia umeme wangetia adabu
Ingekuwa bora zaidi
 
[emoji123]
 
siku ukijenga ndio utajua ghalama za wiring zipoje, na unafuu huo wa 27000 kwetu sisi wajenzi, mpuuzi wewe
 
Nyie wapuuzi kula kulala hamuwezi kuona nafuu ya bei kupunguzwa ya kuvuta umeme
 
kama ni TSh, hakuna mita inauzwa iyo bei, labda kama umesahau sifuri moja

CIU tu peke yake ukipoteza kuipata mpya ni 150k

mita zinatengenezwa hapahapa Tz na Baobab, Mbezi Juu, hazitoki nje
 
kama ni TSh, hakuna mita inauzwa iyo bei, labda kama umesahau sifuri moja

CIU tu peke yake ukipoteza kuipata mpya ni 150k

mita zinatengenezwa hapahapa Tz na Baobab, Mbezi Juu, hazitoki nje
well well!
 
kama ni TSh, hakuna mita inauzwa iyo bei, labda kama umesahau sifuri moja

CIU tu peke yake ukipoteza kuipata mpya ni 150k

mita zinatengenezwa hapahapa Tz na Baobab, Mbezi Juu, hazitoki nje
Kwani redio China kiwandani inauzwa sawa na kariakoo mkononi?

Hata magari huko japani yanauzwa bei ndogo sawa na bei ya spare kariakoo!
 
Kwani redio China kiwandani inauzwa sawa na kariakoo mkononi?

Hata magari huko japani yanauzwa bei ndogo sawa na bei ya spare kariakoo!
si kwa 10k kwa mita ya umeme bwashee
 
Kwani kunatofauti gani kubwa kwenye radio ya kudaka frequency na mita ya umeme si ni Yale Yale tu material
mita ya umeme ina vitu vifuatavyo ndani:

1. dc power supply unit (SMPS)
2. filtering circuits
3. current transformer na signal conditioning circuit zake
4. voltage transformer na signal conditioning circuit zake
5. STM32 micro-controller
6. 433MHz RF module ( transmitter na receiver yake)
7. CIU - user interface
8. RTC module kwa ajili ya date/time
9. GSM/GPRS module, kuna slot ya kuweka sim card japo pako empty
10. 63A Relay module
11. LCD display ndani ya mita yenyewe
12. magnetic anti-tampering circuits
13. LiPo battery na buzzer
14. coin cell kwa ajili ya RTC hapo juu
15. high tensile metal seal
16. keypad membrane
17. ongezea na lile housing

mkuu ona hata aibu basi

aya tuje kwenye radio:

1. dc power supply unit (linear)
2. tuning circuit + antenna yake
3. amplifier
4. speaker
5. baadhi zina USB/SD card interface,
 
Hata kwenye radio hivyo vipo, tena na batri rechargeable wanakuwekea hakuna tofauti kubwa ya material!
 
Mnazunguuka...kuna vtu vinataka kaul thabit kutekelezeka ...project hyo ya tanesco iliwezekanaje kipind cha mwamba na sasa ishindikane..kalemani aliwezaje?
 
Mnazunguuka...kuna vtu vinataka kaul thabit kutekelezeka ...project hyo ya tanesco iliwezekanaje kipind cha mwamba na sasa ishindikane..kalemani aliwezaje?
Haijawahi kuwezekana! Zoezi lilicorrupse mapema kabisa kabla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…