- Thread starter
- #61
Leo nimepitia huu Uzi ndiyo nimekuelewa vizuri mdauWanasiasa hufanya maamuz kutafuta sifa.
Ila Tanesco huduma nyingine wangekuwa wana outsource tu sio lazima wakomae na kila kitu. Maana hii strategy yao imeprove failure, nchi za dunia ya 3 tunaishi kama manyani tu.