Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nimeona bodi ya ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi kuwa itapigwa trh 20 mwezi huu!
Ningependa nijue na kutunza pia risiti wale wachambuzi na mashabiki wa Simba watueleze vizuri Kama Kuna Mamelod nyingine hapa Tanzania ambayo itamsimamisha yanga asipate jambo lake kwa muda muafaka!!
Ni vizuri pia tuelezane mapema Kama Mamelod alikuwa mbovu basi Mamelod ya TZ iliyo Bora itakuja kuonyesha ubovu wa Mamelod ya south Africa!
N;B Safu imara ya ulinzi itakupa makombe na Safu nzuri ya ushambuliaji itakufanya ushinde mechi (akili kumkichwa)