Kabla ya mechi ya Simba na Yanga trh 20 tunaomba wachambuzi na mashabiki wa Simba watuambie kuna Mamelod nyingine Tz ama ni moja tu ya South Africa?

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Nimeona bodi ya ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi kuwa itapigwa trh 20 mwezi huu!
Ningependa nijue na kutunza pia risiti wale wachambuzi na mashabiki wa Simba watueleze vizuri Kama Kuna Mamelod nyingine hapa Tanzania ambayo itamsimamisha yanga asipate jambo lake kwa muda muafaka!!
Ni vizuri pia tuelezane mapema Kama Mamelod alikuwa mbovu basi Mamelod ya TZ iliyo Bora itakuja kuonyesha ubovu wa Mamelod ya south Africa!

N;B Safu imara ya ulinzi itakupa makombe na Safu nzuri ya ushambuliaji itakufanya ushinde mechi (akili kumkichwa)
 
Utajua siku iyo Kama ni mambwa ama ni mbumbumbu, furaha yenu itadumu kwa wiki 2 tu kuanzia sasa kitachofata ni vilio vya mangungu atumtaki!
Uto sio timu ya kuguarantee ushindi mbele ya simba. Kama una uhakika bet mamilioni utajirike. Unafikiri kila siku ni jmosi.
 
Nimeona bodi ya ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi kuwa itapigwa trh 20 mwezi huu!
Ningependa nijue na kutunza pia risiti wale wachambuzi na mashabiki wa Simba watueleze vizuri Kama Kuna Mamelod nyingine hapa Tanzania ambayo itamsimamisha yanga asipate jambo lake kwa muda muafaka!!
Ni vizuri pia tuelezane mapema Kama Mamelod alikuwa mbovu basi Mamelod ya TZ iliyo Bora itakuja kuonyesha ubovu wa Mamelod ya south Africa!

N;B Safu imara ya ulinzi itakupa makombe na Safu nzuri ya ushambuliaji itakufanya ushinde mechi (akili kumkichwa)
Taarab za nini tena mpira unachezwa uwanjani,hizo njozi za Mamelod zitawatesa sana.
 
Back
Top Bottom