Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Utajua siku iyo Kama ni mambwa ama ni mbumbumbu, furaha yenu itadumu kwa wiki 2 tu kuanzia sasa kitachofata ni vilio vya mangungu atumtaki!MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
"MASHABIKI YA SIMBA NI MA-MBUMBUMBU HAYAELEWI CHOCHOTE KUHUSU MPIRA!"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Huyu aliua kabisa aisee...MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Ok tutaona Cha msingi usikimbieMazuzu fc siku hyo mtapasuka kabisa afe kipa afe beki...
MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
haya sio MAMBWA ni MAWUMBWA kabisa.MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
kweli kabisa kuna mwingine anaitwa Joyce Romalisa a.k.a da Joy,,🤣😅Mwanaume unaitwa Luc alafu utegemee aongee kama mwanaume kweli?
Pamoja mkuu...Ok tutaona Cha msingi usikimbie
Kwa Kikosi Chako Cha Wazee?Mazuzu fc siku hyo mtapasuka kabisa afe kipa afe beki...
Hiko hiko watakutana na wazee wenzao wa utopoloni..Kwa Kikosi Chako Cha Wazee?
kweli kabisa kuna mwingine anaitwa Joyce Romalisa a.k.a da Joy,,🤣😅
wakuja wewe au hujijui kama hujui.uko wapi Kigoma au Shinyanga?Usisahau na Aisha manula
Uto sio timu ya kuguarantee ushindi mbele ya simba. Kama una uhakika bet mamilioni utajirike. Unafikiri kila siku ni jmosi.Utajua siku iyo Kama ni mambwa ama ni mbumbumbu, furaha yenu itadumu kwa wiki 2 tu kuanzia sasa kitachofata ni vilio vya mangungu atumtaki!
Taarab za nini tena mpira unachezwa uwanjani,hizo njozi za Mamelod zitawatesa sana.Nimeona bodi ya ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi kuwa itapigwa trh 20 mwezi huu!
Ningependa nijue na kutunza pia risiti wale wachambuzi na mashabiki wa Simba watueleze vizuri Kama Kuna Mamelod nyingine hapa Tanzania ambayo itamsimamisha yanga asipate jambo lake kwa muda muafaka!!
Ni vizuri pia tuelezane mapema Kama Mamelod alikuwa mbovu basi Mamelod ya TZ iliyo Bora itakuja kuonyesha ubovu wa Mamelod ya south Africa!
N;B Safu imara ya ulinzi itakupa makombe na Safu nzuri ya ushambuliaji itakufanya ushinde mechi (akili kumkichwa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa kuna mwingine anaitwa Joyce Romalisa a.k.a da Joy,,[emoji1787][emoji28]