Heshimu/tukuza mtu kupita kiasi.....lol! Hapo tayari ni makosa kumsujudu mtu/binadamu mwingine! (kwa ile maana ya mwanzo hapo juu)...haya sasa?....lol! bht jamani mimi si nasoma tafsiri ya maneno?KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU, toleo la pili inasema;Sujudi.a kt [ele]1. (kd) tukuza mwenyezi mungu kwa kusujudu2. heshimu au tukuza mtu kupita kiasi. ~ ka, ~sha, ~wasujud.u kt [ele] (kd) 1. gusisha paji la uso chini wakati wa kuswali2. toa heshima kubwa inayostahili kupewa mwenyezi mungu. ~ ia, ika~, isha~, iwa~
TF... kama hukuanza kujifunza kuwa baba au mme tangu ukiwa mdogo, then i tell you it is too late.... a man is being born, and by the time he is 3 years basi ujue maandalizi ya kuwa mume/baba yameanza
I hope you started earlier than this thread
Heshimu/tukuza mtu kupita kiasi.....lol! Hapo tayari ni makosa kumsujudu mtu/binadamu mwingine! (kwa ile maana ya mwanzo hapo juu)
Eh.......mmefika huku? Mnakimbia sana bana wengine tumezidiwa na maungio mbio zetu kwa chungio.
Haya nawaambieni........... MKE ANAMTII MUME NA SI KUMSUJUDIA!
Eh.......mmefika huku? Mnakimbia sana bana wengine tumezidiwa na maungio mbio zetu kwa chungio.
Haya nawaambieni........... MKE ANAMTII MUME NA SI KUMSUJUDIA!
Hapana tatizo lipo kwenye kupita kiasi...lol....bht tatizo ni kwenye 'heshimu' pia?
Kila lakheri.nilikuwa sijui kumbe tuna haki ya kusujudiwa..nitaanza kudemand haki yangu hii now lol
nilikuwa sijui kumbe tuna haki ya kusujudiwa..
nitaanza kudemand haki yangu hii now lol
MWanajamiione tatizo lako unatumia ungo na simu ya mchina hutafika huku
Hiyo umeitoa wapi maana maandiko yanasema mwanamke atamsujudia mumewe na mke atamuheshimu mumewe
Wewe tatizo beijing bado inakusumbua kule ni siasa tupu yaliyoamuliwa mpaka leo hawajatekeleza
Kwa nini amtii?
...lol....bht tatizo ni kwenye 'heshimu' pia?
Hahahaha!! Kwanza mzima wewe miss you so much, Smiles bado sijaoa bado banaaThe Finest........
Swali tafadhali...! Eti kwani wewe umeoa....?!!
I got a couple of questions lakini yanategemea na jibu lako........:A S thumbs_up:
Lol!!! Leo shughuli ipoMJ1 haya maandiko haya....inapokuja kwa wanaume basi wamewekwa juu (kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa basi na mume atakuwa kichwa cha famili), wanawake sisi maandiko yanatusihi kuwasujudu na kuwatii waume....
Hivi Mbu ule waraka kwa Waefeso ni nani aliandika? (alikuwa considerate angalau)
Lol!!! Labda awe ajajua kutofautisha Kutii, Kuheshimu na Kusujudunilikuwa sijui kumbe tuna haki ya kusujudiwa..
nitaanza kudemand haki yangu hii now lol
Nakutukuza, Nakuheshimu, NakuabuduBy the way Mbu kwani kutukuza ni sawa na kusifia??