Lol Mr. Rocky mie nimejibu kutokana na tafsiri alotoa Mbu hapo
Amesema maana ya kusujudu ni kuabudu MUNGU au kuabudu mtu kupita kiasi: Asa kama ni Mumeo, yeye si MUNGU so huwezimsujudu na kama ni mumeo kwa nini umwabudu kukita kiasi?!!
Ni nabaki kwenye kutii: Heshimu na kumpenda kama MUME/MPENZI na kutekeleza yale ambayo angependa nimtekelezee......kwa makubaliano ya kuuimarisha muunganiko wetu.
Mwanajamiione hujadandia treni kwa mbele ila uko kwenye mlango sahihi
Nafikiri aliyeandika hilo neno la kusujudia hakumaanisha kuwa umsujudie na kumuogopa kama unavyomuogopa Mwenyezi Mungu bali ni kusujudu ile ya kutii na kuheshimu na kujua kuwa unayemfanyia hayo ana heshima yake na mamlaka yake ambayo umemweka kuwa ni kichwa cha nyumba. So endelea kumfanyia hayo mpe meshima yake kuw akichwa cha nyumba na baba wa familia usiondoe ile maana iliyokusudiwa
MJ1 haya maandiko haya....inapokuja kwa wanaume basi wamewekwa juu (kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa basi na mume atakuwa kichwa cha famili), wanawake sisi maandiko yanatusihi kuwasujudu na kuwatii waume....
Hivi Mbu ule waraka kwa Waefeso ni nani aliandika? (alikuwa considerate angalau)
Hahahaha!! Kwanza mzima wewe miss you so much, Smiles bado sijaoa bado banaa
Hahahaha!! Mbu kwamba "I'm down on your knees"
...ngoja siku yawakute ndipo mtapojua tofauti ya kusujudia na kutii ipo wapi!..lol!
And we are both wings of the same bird!this is a man's world.....but it is nothin without a woman.......
And we are both wings of the same bird!
Hahaa haya Mbu, pole kwa kukuganda ila tu huo waraka nilitaka nijue kama ni wa Paulo kwa Waefeso maana nilidhania tu. Shukrani sana. Nimeupenda na naona unahusika sana!...dahhh, bht umenishikia bango jamani mwee!...mwenzio nilikuwa bado sijazaliwa, ila wanazuoni wanasema St. Paul,wengine wanadai waliomfuatia...(mikono ya waandishi)
By the way Mbu kwani kutukuza ni sawa na kusifia??
Mzima kabisa, I was waiting for your questions lol!!!!Dah... some relief there!
Reserving the questions for now.....
mi mzima kabisa! missed u pia.......
Khaaa wenzio leo tumeegemea vifungu vya kwenye kitabu Kitakatifu....!Karibu sana mama mushka
Khaaa wenzio leo tumeegemea vifungu vya kwenye kitabu Kitakatifu....!
Hahahaha!! Mbu kwamba "I'm down on your knees"
Mzima kabisa, I was waiting for your questions lol!!!!
Mzima kabisa, I was waiting for your questions lol!!!!
...umeona ee?...we acha watu wajifanye 'vidume' hapa....
hakuna formula nani asujudiwe kwenye mapenzi.
Pheewww!, angalau wewe sasa umenielewa namaanisha nini...
Mbu inategemea mkuu mahala na wakati
Ukibainika lazima usujudu ili upate kitu roho inapenda
....'tatizo' la hivi vitabu vya dini vimeandikwa katika ule mfumo wa Present Continuous Tense...inabidi tuendelee nao tu mpaka siku ya hukumu.