...ungejibu nini? YES?....hhhaa ha...na imagine ungeulizwa "will you marry me?!"hapa hadharani!
Kusujudiana kunaondoa ladha ya mapenzi, haijalishi nanai anasujudiwa! Ibaki kuwa heshima na utii tu, hapo raha bin starehe!Afu nani aliwaambiwa kuwa 'down on your knees' ndo umesujudu?...umeona ee?...we acha watu wajifanye 'vidume' hapa....hakuna formula nani asujudiwe kwenye mapenzi.Pheewww!, angalau wewe sasa umenielewa namaanisha nini...
Umeona eeh........
Like after few minutes from now?? Lol!!Usijali..... maswali yatakuja tu....in time!
Mbu umeniharibia Confidence yangu niliyokuwa nayo maana baada "will you marry me??" inafuata Je utanisujudu? Lol!!!
...ungejibu nini? YES?....hhhaa ha...na imagine ungeulizwa "will you marry me?!"hapa hadharani!
Hahahaha!!! Mbu wewe mtu mbaya sana unaweza kumfanya mtu aka-confess hadharani...naam, naaam....na hivi tangu jana tupo na hii spiritual concious, tungemaliza mistari yote ya
kuubariki muungano huu. The Finest, stop 'blushing' bro ...hhe hhe he!...
Lol!!! FidelMbu inategemea mkuu mahala na wakati
Ukibainika lazima usujudu ili upate kitu roho inapenda
Sasa huo ni ubaya au uzuri wa Mbu?Wanaopenda sirini ni waongo tu.....Hahahaha!!! Mbu wewe mtu mbaya sana unaweza kumfanya mtu aka-confess hadharani
Kusujudiana kunaondoa ladha ya mapenzi, haijalishi nanai anasujudiwa! Ibaki kuwa heshima na utii tu, hapo raha bin starehe!Afu nani aliwaambiwa kuwa 'down on your knees' ndo umesujudu?
Siku yamekukuta inabidi kusujudu sasa hapa naanza kupata picha kuwa iko applicable hata kwa wanaume lol...umeona ee?...we acha watu wajifanye 'vidume' hapa....
hakuna formula nani asujudiwe kwenye mapenzi.
Pheewww!, angalau wewe sasa umenielewa namaanisha nini...
Like after few minutes from now?? Lol!!
Mbu umeniharibia Confidence yangu niliyokuwa nayo maana baada "will you marry me??" inafuata Je utanisujudu? Lol!!!
Lol!!! Mbu amekuwa ahead of what i was thinkingSasa huo ni ubaya au uzuri wa Mbu?Wanaopenda sirini ni waongo tu.....
Najua nipo nje ya topic,lakn TF hebu copyright basi hayo unayotuambia.Then nitarudi badae kuchagia mada....Mwanzo.2:24 inasema, "Kwahiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" Ukiangalia (Zaburi.45:10-11) anasema, "Sikia binti utazame utege sikio lako, uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako na mfalme atautamani uzuri wako, maana ndiye bwana wako naye umsujudie".
Watu wengi wanataka waingie kwenye ndoa waoe au waolewe lakini uhusiano wao na wazazi wao usibadilike, haiwezekani. Biblia imeweka wazi unataka kuoa, mwanaume lazima aachane kwanza na baba yake na mama yake, maana yake kuna mabadiliko. Kuna mabadiliko mahali pa kuishi, kuna mabadiliko juu ya mtazamo wako wa kwanza wa maisha yako. Mke wako hawezi kuwa mama yako na mume wako hawezi kuwa baba yako.
Na kabla haujafikia maamuzi ya namna hiyo, ukiingia kwenye ndoa, ndoa yako itakuwa ngumu maana inawezekana unaishi vizuri na wazazi wako, kiasi kwamba maamuzi yote unayoyafanya lazima ushirikiane nao, hiyo hatua nzuri lakini ukiishaingia kwenye ndoa mtu wa kwanza kushirikiana nae ni mume wako kama umeolewa na mke wako kama umeoa, na wazazi wengine wasingetaka kuona kwamba unakuwa mbali nao kwa jinsi hii, watataka waendeleze maamuzi yao na utawala wao waliokuwa nao juu yako mpaka kwenye ndoa yako haiwezekani.
Unapoamua kuolewa wa kwanza sio baba yako au mama yako, wa kwanza ni mume wako, ikiwa haujafikia uamuzi wa namna hii moyoni mwako basi basi bado haujafikia utayari wa kuolewa. Na ina madhara yake magumu, biblia inasema kabla haujawasahau watu wako na watu wa nyumba ya baba yako, mume wako hawezi kuutamani uzuri wako, ukitaka autamani uzuri wako lazima uwasahau kwanza watu wa nyumbani kwa wazazi wako.
Nawatakia kila la heri wale wanaotarajia kuolewa na kuoa wikiendi hii Mungu awabariki katika ndoa zenu.
TF.
Kusujudiana kunaondoa ladha ya mapenzi, haijalishi nanai anasujudiwa! Ibaki kuwa heshima na utii tu, hapo raha bin starehe!Afu nani aliwaambiwa kuwa 'down on your knees' ndo umesujudu?
Mbu inategemea mkuu mahala na wakati
Ukibainika lazima usujudu ili upate kitu roho inapenda
Mkuu yaani Fidel ameniacha hoi kwa hiyo comment yake hapa juuSasa TF mbona pale mwanaume ndo anasujudu sasa
Kumbe akitoka hapo kibao kinageuka kwa mwanamke
Natumaini mlimani wanakondoo wanapata neno la Mungu vizuri aisee nimeisha copyright tayariNajua nipo nje ya topic,lakn TF hebu copyright basi hayo unayotuambia.Then nitarudi badae kuchagia mada....
Mkuu yaani Fidel ameniacha hoi kwa hiyo comment yake hapa juu
Lol...haya bana!Afu hapo naona hata hayuko down on his knees bali on his tummy! (kusujudu kunahusisha paji la uso hata hivyo)...lol...rejea picha kwanini mwenza 'husujudiwa' mtuhumiwa anapokuwa anasubiria ~Life without parole/or death~ sentencing!'
Lol!!!! Kwa kuchunguza wewe hahahahaLol...haya bana!Afu hapo naona hata hayuko down on his knees bali on his tummy! (kusujudu kunahusisha paji la uso hata hivyo)
Hahahaha!!! Mbu wewe mtu mbaya sana unaweza kumfanya mtu aka-confess hadharani
Hiyo ni kiboko yaani unasujudu wakati unataka kitu fulani ni kama pale " Will u marry me" ukitoka hapo ukishaambiwa "Yes" kibao kinageuka
Lol...haya bana!Afu hapo naona hata hayuko down on his knees bali on his tummy! (kusujudu kunahusisha paji la uso hata hivyo)