Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Dah! Dah! Dah! (in black and NO COMMENT!!!) Khaaa!!!

Please sema umetumia vigezo gani kabla sijajibu.... (in blue....)
 
Reactions: Mbu
Haahhaha....madongo mengine bwana.Nwy ukweli ni kwamba sio wanawake tu ila hata wanaume hua wanachagua vifungu vinavyowa‘FAVOR‘ wao ....luckly for them ndo vimepamba kitabu.
 
Reactions: Mbu

lol...Mwj1 penye penzi hakuna Ubwana na Utwana bana...unless wazungumzia 'fetish'
....usininyong'onyeze zaidi ya hivi The Finest alivyonichongea leo.
 
Mbu ukisikia maandamano halafu mlango wa nyumba yako unagongwa just dial 911 usalama wako utakuwa hatarini kwasababu ya comment hii lol!!!
 
Reactions: Mbu
...natamani kuuliza kwanini maandiko yanambana zaidi binti 'aachane na wa kwao,' 'amsujudie mume,' na yada yada nyinginezo, bila kumkufuru Mwenyezi Mungu.

..................... So hiyo picha ndo Mbu mwenyewe eh?...owkey!! tutaijadili baadae!

Mbu unafikiri nakubishia juu ya uharibifu ulioanikwa kwenye vitabu vya dini? Wala..........maana nikibisha utanitajia Eva, Wale Mabinti wawili wa Lutu walioamua kumdu Baba yao Rebeka Mamake Esau na Yakobo, hujamtaja yule mwanamke alomrubuni Yusuph kule misri, stakaa sawa utanitwanga na Delila wa Samson, na wengine chungu mbovu walioanikwa kwenye Bibilia.........lakini mbona hata wanaume vichaa wapo na bado wao ndo watawala?

Nway hii topic kidogo imenikalia kumoso (kushoto)
 
lol...Mwj1 penye penzi hakuna Ubwana na Utwana bana...unless wazungumzia 'fetish'
....usininyong'onyeze zaidi ya hivi The Finest alivyonichongea leo.
Mkuu hahahaha nimekuwa kama mtoza ushuru
 
Reactions: Mbu

Eeee mtume weee!, subiri kwanza usinijibu...Lohhhhh,...nimekusoma hapa dadangu mpenzi,...angalia...loh!

MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...

Dah! Dah! Dah! (in black and NO COMMENT!!!) Khaaa!!!

Please sema umetumia vigezo gani kabla sijajibu.... (in blue....)

...astaghafirullah,...!
 
lol...Mwj1 penye penzi hakuna Ubwana na Utwana bana...unless wazungumzia 'fetish'
....usininyong'onyeze zaidi ya hivi The Finest alivyonichongea leo.
ni tofauti na Mtemi na Mtwana.......kwenye mapenzi kuna ubwana na ubibi!
 
Reactions: Mbu
Lizzy mpenzi mwanaume anapasa kumpenda mwanamke na mwanamke kumtii mwanaume!! Katika dunia hii na maisha yangu yalobakia duniani humu sihitaji zaid ya Baba Chanja kunipenda na nitamhakikishia namtii daimam! Ndio msingi wa maisha yangu yaliyobaki. KWa nini nasema hivyo?? kwa upendo wangu nikimtii nitampenda outomatically, siwezi tii kitu nisichopenda.
 
Reactions: Mbu

Mwj1 umeona ee?
acha nami nijitoe rasmi mdahalo huu.
The Finest naenda kukuchongea kwa Mod unaletesha mada za udini!
eti 'mwanaume usujudiwe,' ...lol!
 
Eeee mtume weee!, subiri kwanza usinijibu...Lohhhhh,...nimekusoma hapa dadangu mpenzi,...angalia...loh!

...astaghafirullah,...!

Imekua astaghafirullah tena?? lol... ukisikia kujitoa off the hook ndio hio...
ofcoz wanawake kweli tumetoka mbalini statement yangu...

Kwahio ina maana ulipenda tuendelee vile vile mazumbukuku?? come on Mbu you are beta than that!
 
Reactions: Mbu

Eeee mtume weee!, subiri kwanza usinijibu...Lohhhhh,...nimekusoma hapa dadangu mpenzi,...angalia...loh!

...astaghafirullah,...!
Sasa Mbu naona dada zangu wamekukalia kooni lol!!!
 
Reactions: Mbu

TF huu upako naona umekushukia ghafla sana
Au na wewe unataka kuwa akina Kakobe
Ila umekaa njema sana na ni ushauri murua kwa wale wanaoingia kwenye ndoa
 
Mwj1 umeona ee?
acha nami nijitoe rasmi mdahalo huu.
The Finest naenda kukuchongea kwa Mod unaletesha mada za udini!
eti 'mwanaume usujudiwe,' ...lol!
Lol!!! Mbu unataka ku-revoke maandiko ya kwenye biblia unajua Mungu hapendi eheee lol!!!
 
Reactions: Mbu
TF huu upako naona umekushukia ghafla sana
Au na wewe unataka kuwa akina Kakobe
Ila umekaa njema sana na ni ushauri murua kwa wale wanaoingia kwenye ndoa
Hahahaha!!! Lol wewe unaingia lini kwenye ndoa nikusindikize.
 
Imekua astaghafirullah tena?? lol... ukisikia kujitoa off the hook ndio hio...
ofcoz wanawake kweli tumetoka mbalini statement yangu...

Kwahio ina maana ulipenda tuendelee vile vile mazumbukuku?? come on Mbu you are beta than that!

Mnh, AD sijui ulinisoma tangia post yangu ya mwanzo?
hii hapa;

...natamani kuuliza kwanini maandiko yanambana zaidi binti 'aachane na wa kwao,' 'amsujudie mume,' na yada yada nyinginezo, bila kumkufuru Mwenyezi Mungu.

...kwenye maandiko kuna mengi yanayoweza zua maswali kuliko majibu,
mfano hilo la mke kumsujudia mume, kumtii mume...nk...
No wonder Lizzy nawewe pia mligusia huenda waliopokea hayo maamrisho
walikuwa wanaishi kwenye mfumo dume zaidi, kiasi cha kutafsiri hayo.

Pia, niligusia, maandiko yamo kwenye mfumo wa present continuous tense,...
maandiko mengine tunashurutishwa vizazi na vizazi mwiko kubadilisha hata neno moja.
No wonder kwa madhehebu yangu, Mwanamke Marufuku kuongoza ibada ya wanaume.

Kimtizamo wangu, women rights movements zilianza miaka ya 1920...
hii ya Beijing 'empowerments' ni juzi juzi tu,..ilhali vitabu vya dini navyo vyatuambia 'ati'
women empowerments ndio dalili za kiama. Sijui umenielewa kidogo?
 
Lol!!! Mbu unataka ku-revoke maandiko ya kwenye biblia unajua Mungu hapendi eheee lol!!!

...aarrgghh, wewe ushaniponza bana mimi nimenuniwa hapa. Acha nimbembeleze wa ubani...arudi kwenye mood.
Wewe endelea na hizo ibada zako za 'kusujudiwa,'....lol!
 
Hahahaha!!! Lol wewe unaingia lini kwenye ndoa nikusindikize.

Mkuu TF niko kwenye ndoa mwaka wa Pili sasa huu na anivesary yangu ni tarehe 1 ya mwezi ujao mkuu ya kutimiza miaka miwili rasmi kwenye ndoa
Ni maisha mazuri sana ukiwa umempata the right candidate for that post
 
Mbu duh naona unayakataa maandiko
Ungejua kwa nini uliwekwa huo mfumo dume wala usingeyalalamikia
Imagine ingeandikwa mwanaume amsujudie mwanamke na mwanaume amheshimu tuu mwanamke sijui ingekuwaje hapo na ni picha gani itafuata baada ya hapo
Kuna sehem pia imeandikwa kaeni na wanawake kwa akili maana walijua hawa viumbe wakoje
Yaache maandiko yaendeleze mfumo dume Mbu maana ukiruhusu mfumo jike utawale wanaume tutakuwa ndo walezi wa watoto nyumbani na wapishi wakati wake zetu watakuwa wanakaa sebuleni kutizama tv na kusoma novel
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…