Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha lol!!!!
...aarrgghh, wewe ushaniponza bana mimi nimenuniwa hapa. Acha nimbembeleze wa ubani...arudi kwenye mood.
Wewe endelea na hizo ibada zako za 'kusujudiwa,'....lol!
Hongera sana mkuuMkuu TF niko kwenye ndoa mwaka wa Pili sasa huu na anivesary yangu ni tarehe 1 ya mwezi ujao mkuu ya kutimiza miaka miwili rasmi kwenye ndoa
Ni maisha mazuri sana ukiwa umempata the right candidate for that post
Hahahaaha!! Nilijua tu.nimetatizwa na neno 'Kumsujudia' tu...
l
Eiyer uchokozi huo lol!!!Mbu unapokuwa GM wa kampuni yoyote halafu ukaletewa msaidizi anakuwa na majukumu gani?
Tuko pamoja ... kama msaidizi eeeh?? Sio mtumwa... ila zile mbavu tuliomba zile zinatu cost sometimes... Dah!
Nyie watu leo najutaaaaa kuleta hii mada lol!!!! Maana Mbu anataka kuniombea BAN lol!!!
...lol, now this is getting interesting...!
awe msaidizi wa nini? naamini kuna nyongeza humo...
na huo usaidizi si una mipaka yake, una masharti na malengo yake, nk nk?
Eiyer uchokozi huo lol!!!
Aisee usisahau kuangalia maandiko kwenye Quran kabla haujalala hakikisha unayashika vizuri na kuyatenda lol!!!PA nakushangaa saaana hata unaposema ukorofi, gemu
umelianzisha alafu you are kwepalini vibaya mno....lol
wewe ndio mkorofi.. maana hii mada yaweza futa madhambi yangu...
Aisee usisahau kuangalia maandiko kwenye Quran kabla haujalala hakikisha unayashika vizuri na kuyatenda lol!!!
Lol!!! Siulizi tena maswaliAre you telling me hubby hajakwambia mimi sala tano na Quran inasomwa kabla ya kila tendo?? lol
Lol!!! Siulizi tena maswali
Nyie watu leo najutaaaaa kuleta hii mada lol!!!! Maana Mbu anataka kuniombea BAN lol!!!
nimetatizwa na neno 'Kumsujudia' tu...
Mbu unapokuwa GM wa kampuni yoyote halafu ukaletewa msaidizi anakuwa na majukumu gani?
lol,...Avatar hii ni picha yangu jamani, hamuamini ee?...haya basi nitamrudisha mdudu...
.
Sasa hapa Ze Finest usilete masihara. Mwenzio nimetatizika kiukweli....Hahahaaha!! Nilijua tu.
Na mimi ngoja nitafute ya mdudu lolndo maana nikakuonya unahatarisha usalama! ungemuuliza TF usumbufu anaopata kwa hiyo avatar! tafadhali rudisha mdudu mbu ili atusaidie kuwaza madhali yanayotukabili!
Mambo ya "Hewala Baba" si ndio yenyewe lol!!!Sasa hapa Ze Finest usilete masihara. Mwenzio nimetatizika kiukweli....