Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Mbu unapokuwa GM wa kampuni yoyote halafu ukaletewa msaidizi anakuwa na majukumu gani?
 
Dada ubavu hauwacoast ila kuna waharibifu walioleta yote haya!
 
nimetatizwa na neno 'Kumsujudia' tu...
l
 

...aarrgghh, wewe ushaniponza bana mimi nimenuniwa hapa. Acha nimbembeleze wa ubani...arudi kwenye mood.
Wewe endelea na hizo ibada zako za 'kusujudiwa,'....lol!
Hahahaha lol!!!!

Mkuu TF niko kwenye ndoa mwaka wa Pili sasa huu na anivesary yangu ni tarehe 1 ya mwezi ujao mkuu ya kutimiza miaka miwili rasmi kwenye ndoa
Ni maisha mazuri sana ukiwa umempata the right candidate for that post
Hongera sana mkuu
 
Tuko pamoja ... kama msaidizi eeeh?? Sio mtumwa... ila zile mbavu tuliomba zile zinatu cost sometimes... Dah!


...lol, now this is getting interesting...!
awe msaidizi wa nini? naamini kuna nyongeza humo...
na huo usaidizi si una mipaka yake, una masharti na malengo yake, nk nk?
Nyie watu leo najutaaaaa kuleta hii mada lol!!!! Maana Mbu anataka kuniombea BAN lol!!!
 
PA nakushangaa saaana hata unaposema ukorofi, gemu
umelianzisha alafu you are kwepalini vibaya mno....lol
wewe ndio mkorofi.. maana hii mada yaweza futa madhambi yangu...
Aisee usisahau kuangalia maandiko kwenye Quran kabla haujalala hakikisha unayashika vizuri na kuyatenda lol!!!
 
Nyie watu leo najutaaaaa kuleta hii mada lol!!!! Maana Mbu anataka kuniombea BAN lol!!!

...umerudi ee? ha h ahha...


nimetatizwa na neno 'Kumsujudia' tu...

...eti! bora bht nawewe umeona hilo. Mambo ya kufanyana Mbuzi na Kondoo haya...


Mbu unapokuwa GM wa kampuni yoyote halafu ukaletewa msaidizi anakuwa na majukumu gani?

GM wa 'kampuni' ya ndoa, mnh...'Boss anatembea na kuzaa na mwajiriwa wake'
 
ndo maana nikakuonya unahatarisha usalama! ungemuuliza TF usumbufu anaopata kwa hiyo avatar! tafadhali rudisha mdudu mbu ili atusaidie kuwaza madhali yanayotukabili!

lol,...Avatar hii ni picha yangu jamani, hamuamini ee?...haya basi nitamrudisha mdudu...

.
 
MBU, hapa najiuliza si yale mambo ya 'Hewala Bwana' haya?
 
ndo maana nikakuonya unahatarisha usalama! ungemuuliza TF usumbufu anaopata kwa hiyo avatar! tafadhali rudisha mdudu mbu ili atusaidie kuwaza madhali yanayotukabili!
Na mimi ngoja nitafute ya mdudu lol
 
Back
Top Bottom