The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter
-
- #121
Nasubiri nimalize kusoma lile darasa kwa Professor Mbu na MwanajamiiOne baada ya kutunikiwa shahada yangu then i am good to go nafikiri nimebakiza semester moja nihitimu hebu ongezi juhudi nipate GPA ya uhakika lolzThe Finest, Bado unajifunza tu??!! ndoa yako lini?
Nasubiri nimalize kusoma lile darasa kwa Professor Mbu na MwanajamiiOne baada ya kutunikiwa shahada yangu then i am good to go nafikiri nimebakiza semester moja nihitimu hebu ongezi juhudi nipate GPA ya uhakika lolz
Hahahaha lol!!Naona umeamua kunigonga asubuhi asubuhi mapema, Mbu sijui ameishaniombea BAN maana alisema nimemkwaza kweli amesema ambacho hakutaka kusema kabisa lolzAh una laana wewe.........MwanajamiiOne ana darasa gani?
Angalia usichague sama, sijeishia kupata koroma
MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...
EMT ngoja akina Ashadii waamke utakoma lolz!!!Na bado inaelekea mna njia ndefu sana b'se kule Jukwaa la Siasa kuna Mbunge mmoja maarufu sana wa chama kikuu cha upinzani hapa nchini asema hadharani kuwa wabunge wa viti maalumu wa chama chake wamepewa ubunge wa "kuzawadiwa". Jimbo la Igunga sasa lipo wazi. Anayetaka ubunge wa "kuzawadiwa" ani PM. lol.
Kwa hiyo hapa umenisaidi kuelewa hili neno The Finest? Kwa hiyo akisema tu mi naitikia hewala bwana.....Mambo ya "Hewala Baba" si ndio yenyewe lol!!!
Hivi kwanini Biblia kwenye baadhi ya sehemu inasema Kumsujudu and not kumuheshimu
Hahahaha!!! bht unajua sio vizuri kwenda against maandiko you know what i mean lolz!!!Kwa hiyo hapa umenisaidi kuelewa hili neno The Finest? Kwa hiyo akisema tu mi naitikia hewala bwana.....
Would you do the same right now lol!!! Just kiddinAliyeandika Zaburi alikuwa mfalme Daudi, aliandika kumsujudia kwa sababu wake za wafalme enzi zile walitakiwa kuwasujudia waume zao, ulikuwa huruhusiwi kuingia kwenye hema la mfalme bila ruhusa, na ukifika unamwinamia kwanza ndo unaongea shida yako.
Na bado inaelekea mna njia ndefu sana b'se kule Jukwaa la Siasa kuna Mbunge mmoja maarufu sana wa chama kikuu cha upinzani hapa nchini asema hadharani kuwa wabunge wa viti maalumu wa chama chake wamepewa ubunge wa "kuzawadiwa". Jimbo la Igunga sasa lipo wazi. Anayetaka ubunge wa "kuzawadiwa" ani PM. lol.
Nasubiri nimalize kusoma lile darasa kwa Professor Mbu na MwanajamiiOne baada ya kutunikiwa shahada yangu then i am good to go nafikiri nimebakiza semester moja nihitimu hebu ongezi juhudi nipate GPA ya uhakika lolz
Aliyeandika Zaburi alikuwa mfalme Daudi, aliandika kumsujudia kwa sababu wake za wafalme enzi zile walitakiwa kuwasujudia waume zao, ulikuwa huruhusiwi kuingia kwenye hema la mfalme bila ruhusa, na ukifika unamwinamia kwanza ndo unaongea shida yako.
Hiki ndicho nilikuwa nataka. Joyceline asante sana. Kusujudu na kuheshimu kuna tofauti hapa sasa!Aliyeandika Zaburi alikuwa mfalme Daudi, aliandika kumsujudia kwa sababu wake za wafalme enzi zile walitakiwa kuwasujudia waume zao, ulikuwa huruhusiwi kuingia kwenye hema la mfalme bila ruhusa, na ukifika unamwinamia kwanza ndo unaongea shida yako.
Hahahaha lol!!!!
Hongera sana mkuu
Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yake...zamani mpaka siku hizi, maandiko, muongozo na hukumu ni ile ile...---'sujudu!'
Mamushka.......... This is unfair ujue? Wajua navokumisi lakini?Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yake
The finest, mimi mume wangu simsujudu bali namuheshimu, sasa hapo naenda kinyume na maandiko? (ya mfalme Daudi)Kusujudu mi nakufananisha na nidhamu ya uongo uongo hivi!Hahahaha!!! bht unajua sio vizuri kwenda against maandiko you know what i mean lolz!!!
Ningekutusi ila naogopa laana biggy! (laana yako haina tofauti na ya baba kabisa)Sasa hapa mi nimekatishwa tamaa na mambo ya kusujudiana aisee....(hiki kifungu si kimepitwa na wakati hiki?)Mamushka.......... This is unfair ujue? Wajua navokumisi lakini?
Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yakeThe finest, mimi mume wangu simsujudu bali namuheshimu, sasa hapo naenda kinyume na maandiko? (ya mfalme Daudi)Kusujudu mi nakufananisha na nidhamu ya uongo uongo hivi!
Si unajua maandiko ya KIDUNIA
"Hewala bwana"
...zamani mpaka siku hizi, maandiko, muongozo na hukumu ni ile ile...---'sujudu!'
Joyceline kaokoa jahazi ila ni muhimu kufuata maandiko aisee lolzHiki ndicho nilikuwa nataka. Joyceline asante sana. Kusujudu na kuheshimu kuna tofauti hapa sasa!
Aisee bado sijapata jimbo la kugombeaAsante TF
Lini na wewe unaingia tukusindikize mkuu
Hivi kitu kilichoandikwa kama hakijafutwa si bado huwa kinaendelea kuwa applicable???Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yake