Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kabla ya ndoa ujifunze lipi

The Finest, Bado unajifunza tu??!! ndoa yako lini?
Nasubiri nimalize kusoma lile darasa kwa Professor Mbu na MwanajamiiOne baada ya kutunikiwa shahada yangu then i am good to go nafikiri nimebakiza semester moja nihitimu hebu ongezi juhudi nipate GPA ya uhakika lolz
 
Ah una laana wewe.........MwanajamiiOne ana darasa gani?
Angalia usichague sama, sijeishia kupata koroma
 
Hahahaha lol!!Naona umeamua kunigonga asubuhi asubuhi mapema, Mbu sijui ameishaniombea BAN maana alisema nimemkwaza kweli amesema ambacho hakutaka kusema kabisa lolz
 
MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...

Na bado inaelekea mna njia ndefu sana b'se kule Jukwaa la Siasa kuna Mbunge mmoja maarufu sana wa chama kikuu cha upinzani hapa nchini asema hadharani kuwa wabunge wa viti maalumu wa chama chake wamepewa ubunge wa "kuzawadiwa". Jimbo la Igunga sasa lipo wazi. Anayetaka ubunge wa "kuzawadiwa" ani PM. lol.
 
EMT ngoja akina Ashadii waamke utakoma lolz!!!
 
Hivi kwanini Biblia kwenye baadhi ya sehemu inasema Kumsujudu and not kumuheshimu

Aliyeandika Zaburi alikuwa mfalme Daudi, aliandika kumsujudia kwa sababu wake za wafalme enzi zile walitakiwa kuwasujudia waume zao, ulikuwa huruhusiwi kuingia kwenye hema la mfalme bila ruhusa, na ukifika unamwinamia kwanza ndo unaongea shida yako.
 
Kwa hiyo hapa umenisaidi kuelewa hili neno The Finest? Kwa hiyo akisema tu mi naitikia hewala bwana.....
Hahahaha!!! bht unajua sio vizuri kwenda against maandiko you know what i mean lolz!!!
 
Aliyeandika Zaburi alikuwa mfalme Daudi, aliandika kumsujudia kwa sababu wake za wafalme enzi zile walitakiwa kuwasujudia waume zao, ulikuwa huruhusiwi kuingia kwenye hema la mfalme bila ruhusa, na ukifika unamwinamia kwanza ndo unaongea shida yako.
Would you do the same right now lol!!! Just kiddin
 
Na bado inaelekea mna njia ndefu sana b'se kule Jukwaa la Siasa kuna Mbunge mmoja maarufu sana wa chama kikuu cha upinzani hapa nchini asema hadharani kuwa wabunge wa viti maalumu wa chama chake wamepewa ubunge wa "kuzawadiwa". Jimbo la Igunga sasa lipo wazi. Anayetaka ubunge wa "kuzawadiwa" ani PM. lol.

aaaiiiseee!! too bad i am busy.... Dah! EMT!!! Will be back!!!
 
Nasubiri nimalize kusoma lile darasa kwa Professor Mbu na MwanajamiiOne baada ya kutunikiwa shahada yangu then i am good to go nafikiri nimebakiza semester moja nihitimu hebu ongezi juhudi nipate GPA ya uhakika lolz

...unarudia tena ee? ...na huo msitari umeutoa wapi katika maandiko?

Aliyeandika Zaburi alikuwa mfalme Daudi, aliandika kumsujudia kwa sababu wake za wafalme enzi zile walitakiwa kuwasujudia waume zao, ulikuwa huruhusiwi kuingia kwenye hema la mfalme bila ruhusa, na ukifika unamwinamia kwanza ndo unaongea shida yako.

...zamani mpaka siku hizi, maandiko, muongozo na hukumu ni ile ile...---'sujudu!'
 
Hiki ndicho nilikuwa nataka. Joyceline asante sana. Kusujudu na kuheshimu kuna tofauti hapa sasa!
 
Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yake
Mamushka.......... This is unfair ujue? Wajua navokumisi lakini?
 
Hahahaha!!! bht unajua sio vizuri kwenda against maandiko you know what i mean lolz!!!
The finest, mimi mume wangu simsujudu bali namuheshimu, sasa hapo naenda kinyume na maandiko? (ya mfalme Daudi)Kusujudu mi nakufananisha na nidhamu ya uongo uongo hivi!
 
Mamushka.......... This is unfair ujue? Wajua navokumisi lakini?
Ningekutusi ila naogopa laana biggy! (laana yako haina tofauti na ya baba kabisa)Sasa hapa mi nimekatishwa tamaa na mambo ya kusujudiana aisee....(hiki kifungu si kimepitwa na wakati hiki?)
 
Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yake
The finest, mimi mume wangu simsujudu bali namuheshimu, sasa hapo naenda kinyume na maandiko? (ya mfalme Daudi)Kusujudu mi nakufananisha na nidhamu ya uongo uongo hivi!

...lol...kwenye kiapo cha ndoa mliondoa neno "....nitamtii?"
 
...unarudia tena ee? ...na huo msitari umeutoa wapi katika maandiko?

Si unajua maandiko ya KIDUNIA

...zamani mpaka siku hizi, maandiko, muongozo na hukumu ni ile ile...---'sujudu!'
"Hewala bwana"

Hiki ndicho nilikuwa nataka. Joyceline asante sana. Kusujudu na kuheshimu kuna tofauti hapa sasa!
Joyceline kaokoa jahazi ila ni muhimu kufuata maandiko aisee lolz

Asante TF
Lini na wewe unaingia tukusindikize mkuu
Aisee bado sijapata jimbo la kugombea

Yamepitwa na wakati haya Mbu, ukizingatia aliandika mfalme Daudi kujilindia maslahi yake
Hivi kitu kilichoandikwa kama hakijafutwa si bado huwa kinaendelea kuwa applicable???
 
Back
Top Bottom