Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kabla ya ndoa ujifunze lipi

NN ukinisoma tena, sidhani kuna mahali nimesema ni mwanamke anatakiwa kumtii mume....nimesema mwenza (anaweza kuwa mume au mke)
 
NN amtii kwa kuwa MUME ni KICHWA CHA FAMILIA kama alivyo Kristo kichwa cha kanisa! (Si tunazungumzia maandiko hapa au nimedandia treni kwa Mbele?!) Mwe

NN ukinisoma tena, sidhani kuna mahali nimesema ni mwanamke anatakiwa kumtii mume....nimesema mwenza (anaweza kuwa mume au mke)

Sawa, hujaandika wewe lakini ona huyo mwenzako alivyoandika hapo juu. Au maandiko hayasemi hivyo (kuwa mke amtii mumewe kwa kuwa mume ndo kichwa cha familia?)
 
Kwa hiyo huu utiifu anayetakiwa kuwa nao ni mke kwa mume wake? If so, that's more stupid than I thought before!!!!!

Au nimekosea kuwa mke anatakiwa kuwa mtiifu kwa mumewe kwa sababu mume ndo kichwa cha familia? Manake kwa mujibu wako msingi wa utiifu ni "heshima na upendo wa dhati". Heshima na upendo wa dhati kwenye mahusiano ni two way street. Sasa kwa nini mke tu ndo awe mtiifu kwa mumewe na mume naye asiwe mtiifu kwa mkewe?

Nyie waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa . Imewapasa wanaume kuwapenda wake zao kama wanavyoipenda miili yao maana anayempenda mkewe naye hujipanda mwenyewe.

Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa. Kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zaokatika kila jambo
NN huo ndio uhalisia
 
Hahahaha!!! NN

Let me tell you something man...religion, just like law, is maddeningly subjective because so much is left up to one's interpretation. And that is why I am no fan of it (religion) to a great extent.

I'd rather me and my partner conceive and come up with our own rules than follow what some dude or dudette wrote in some book(s) ages ago.

And this word 'utii' has some bad connotations. I don't like it especially in a romantic context.
 
Kwa hiyo waume wawapende wake zao; na wake wawatii waume zao? Kwa nini isiwe wote wapendane na kutiiana (mwishowe ntaandika matusi bure teh teh teh)? Kuna ubaya gani kwa mume kumpenda na kumtii mkewe na mke kumpenda na kumtii mumewe?
 
Sawa, hujaandika wewe lakini ona huyo mwenzako alivyoandika hapo juu. Au maandiko hayasemi hivyo (kuwa mke amtii mumewe kwa kuwa mume ndo kichwa cha familia?)
Ni kweli maandiko yanasema hivi, na binafsi sikubaliani na huo mtazamo kwa kuwa ni wa kugandamizana maana kila mtu anatafsiri inayokidhi matakwa yake (kama mfalme Daudi na zaburi)
 
Let me tell you something man...religion, just like law, is maddeningly subjective because so much is left up to one's interpretation. And that is why I am no fan of it (religion) to a great extent.

I'd rather me and my partner conceive and come up with our own rules than follow what some dude or dudette wrote in some book(s) ages ago.

And this word 'utii' has some bad connotations. I don't like it especially in a romantic context.

Sidhani kama unatakiwa ufuate neno kwa neno au uliseme kwa mpenzi au mke wako kuwa lazima unitii au kunisujudia. This is between partner ndani ya nyumba wakikubaliana yale ya msingi kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba sidhani kama kuna kuongelea mambo ya utii au kusujudiana. Kwani hata mume akimsujudia mkewe ndani ya nyumba still atarudi aje aseme kuwa nimesujudiwa na mume wangu
 
Kwa hiyo waume wawapende wake zao; na wake wawatii waume zao? Kwa nini isiwe wote wapendane na kutiiana (mwishowe ntaandika matusi bure teh teh teh)? Kuna ubaya gani kwa mume kumpenda na kumtii mkewe na mke kumpenda na kumtii mumewe?

Hiyo NN ingeingia kwenye matusi
hayo ni ya ndani ya nyumba wakikubali kupendana na kuheshimiana na kutiiana ni maamuzi ya wawili ndani ya nyumba third part hatakiwi kujua
 
mniwie radhi kusema hivi....hata maandika ya kidini hufikia wakati hayakidhi mahitaji ya maisha ya binadamu wa kipindi fulani.

Mkubali mkatae huo ndo ukweli. Hatuishi katika kipindi cha kusujudiana na kupeana amri tena!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sidhani kama unatakiwa ufuate neno kwa neno au uliseme kwa mpenzi au mke wako kuwa lazima unitii au kunisujudia. This is between partner ndani ya nyumba wakikubaliana yale ya msingi kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba sidhani kama kuna kuongelea mambo ya utii au kusujudiana. Kwani hata mume akimsujudia mkewe ndani ya nyumba still atarudi aje aseme kuwa nimesujudiwa na mume wangu
Basi hakuna haja kabisa ya kuyarejelea hayo maandiko. Wawili wakubaliane maisha yao basi waendeleee.
 
mniwie radhi kusema hivi....hata maandika ya kidini hufikia wakati hayakidhi mahitaji ya maisha ya binadamu wa kipindi fulani.

Mkubali mkatae huo ndo ukweli. Hatuishi katika kipindi cha kusujudiana na kupeana amri tena!

BHT naamini katika usemayo ila hayapaswi kutupwa moja kwa moja kapuni yapaswa sometime yatumike na sio kuachwa moja kwa moja. Kuna mapungufu japo hatuwezi kuyasemea maana unaweza ukaambiwa unaikosoa torati na manabii ila ukweli yapo. Haya mambo ya kutii na kusujudia ni mambo ya ndani sana ambayo sidhani kama yanaonekana yanafanyika ila hheshima na upendo ukiwepo kila kitu kinaenda kilivyokusudiwa wala sio utii na kusujudu vinaleta heshima
 
Basi hakuna haja kabisa ya kuyarejelea hayo maandiko. Wawili wakubaliane maisha yao basi waendeleee.

Wawili wakikubaliana ndani ya nyumba kuna mtu atakuja aweke msahafu mezani aseme kuwa maandiko yanasema hivi. Yale yako kwa sababu ni guiding lines kujua kuwa kuna kitu kama hicho ila sio lazima usome neno kwa neno na mstari kwa mstari
 
Kwa hiyo waume wawapende wake zao; na wake wawatii waume zao? Kwa nini isiwe wote wapendane na kutiiana (mwishowe ntaandika matusi bure teh teh teh)? Kuna ubaya gani kwa mume kumpenda na kumtii mkewe na mke kumpenda na kumtii mumewe?

Kwa mawazo yangu....... Mungu aliangalia ndani ya mioyo ........mwanamke kutii alijua tayari mwanamke anaupendo wa hali ya juu kinachokosekana ni utii ndio maana akasema amtii mumewe..........na mwanaume apende inamaa mwanaume upendo haupo ndani mwake........na ndio maana akasema na ampende mkewe
 
Basi ukiona huwezi kuyatumia hayo maandiko katika ujumla wake, hakuna haja ya kufanya hivyo. Maana utaondoa maana halisi sasa. Social teachings of religions do change from time to time ili kukidhi haja ya jamii ya binadamu kwa kipindi fulani.
 
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.
 
Hapo ntatofautiana na wewe kabisaaaa....yaani niwe na upendo wa dhati afu nisimtii/kumheshimu mume? Bado haingii akilini
 
Basi ukiona huwezi kuyatumia hayo maandiko katika ujumla wake, hakuna haja ya kufanya hivyo. Maana utaondoa maana halisi sasa. Social teachings of religions do change from time to time ili kukidhi haja ya jamii ya binadamu kwa kipindi fulani.

BHT ile sio sheria ya nchi kwamba mkiona mapungufu mnapeleka muswada bungeni mnabadilisha kifungu kiendane na mazingira. Ukifanya hivyo watu watakuja na idea ya kuwa tuammend bible au kurani turuhusu ndoa za jinsia moja. Read between the lines BHT utapata maana iliyokusudiwa
 
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.

TF kuna zaidi ya hapo na kuna kitu walioandika maandiko walikiona ndo maana wakaweka kabisa kuwa wanawake wawatii waume zao
 
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.
Kwani unadhani mfumo dume ulianzia wapi The Finest? No kwenye haya haya maandiko!
 
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.

Enheeee wewe ndo uko mstari mmoja na mimi!

Mimi kwenye mji wangu ndiyo itakuwa hivyo. Tutapendana na kuheshimiana kwa dhati. Mambo ya utii sitaki kuyasikia kabisa kwa sababu hilo neno kwangu lina connotations za kiimla imla na kinyapara.

Pia ushawahi kusikia makampuni yanayoongozwa na wakurugenzi wawili? Basi na kwangu ndiyo itakuwa hivyo hivyo. Yaani mimi na missus wote tutakuwa co-heads of household.

Haya niko tayari kwa mashuti ya waosha vinywa lol
 
Back
Top Bottom