Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NN amtii kwa kuwa MUME ni KICHWA CHA FAMILIA kama alivyo Kristo kichwa cha kanisa! (Si tunazungumzia maandiko hapa au nimedandia treni kwa Mbele?!) Mwe
NN ukinisoma tena, sidhani kuna mahali nimesema ni mwanamke anatakiwa kumtii mume....nimesema mwenza (anaweza kuwa mume au mke)
Kwa hiyo huu utiifu anayetakiwa kuwa nao ni mke kwa mume wake? If so, that's more stupid than I thought before!!!!!
Au nimekosea kuwa mke anatakiwa kuwa mtiifu kwa mumewe kwa sababu mume ndo kichwa cha familia? Manake kwa mujibu wako msingi wa utiifu ni "heshima na upendo wa dhati". Heshima na upendo wa dhati kwenye mahusiano ni two way street. Sasa kwa nini mke tu ndo awe mtiifu kwa mumewe na mume naye asiwe mtiifu kwa mkewe?
Hahahaha!!! NN
Nyie waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa . Imewapasa wanaume kuwapenda wake zao kama wanavyoipenda miili yao maana anayempenda mkewe naye hujipanda mwenyewe.
Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa. Kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zaokatika kila jambo
NN huo ndio uhalisia
Ni kweli maandiko yanasema hivi, na binafsi sikubaliani na huo mtazamo kwa kuwa ni wa kugandamizana maana kila mtu anatafsiri inayokidhi matakwa yake (kama mfalme Daudi na zaburi)Sawa, hujaandika wewe lakini ona huyo mwenzako alivyoandika hapo juu. Au maandiko hayasemi hivyo (kuwa mke amtii mumewe kwa kuwa mume ndo kichwa cha familia?)
Let me tell you something man...religion, just like law, is maddeningly subjective because so much is left up to one's interpretation. And that is why I am no fan of it (religion) to a great extent.
I'd rather me and my partner conceive and come up with our own rules than follow what some dude or dudette wrote in some book(s) ages ago.
And this word 'utii' has some bad connotations. I don't like it especially in a romantic context.
Kwa hiyo waume wawapende wake zao; na wake wawatii waume zao? Kwa nini isiwe wote wapendane na kutiiana (mwishowe ntaandika matusi bure teh teh teh)? Kuna ubaya gani kwa mume kumpenda na kumtii mkewe na mke kumpenda na kumtii mumewe?
Basi hakuna haja kabisa ya kuyarejelea hayo maandiko. Wawili wakubaliane maisha yao basi waendeleee.Sidhani kama unatakiwa ufuate neno kwa neno au uliseme kwa mpenzi au mke wako kuwa lazima unitii au kunisujudia. This is between partner ndani ya nyumba wakikubaliana yale ya msingi kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba sidhani kama kuna kuongelea mambo ya utii au kusujudiana. Kwani hata mume akimsujudia mkewe ndani ya nyumba still atarudi aje aseme kuwa nimesujudiwa na mume wangu
mniwie radhi kusema hivi....hata maandika ya kidini hufikia wakati hayakidhi mahitaji ya maisha ya binadamu wa kipindi fulani.
Mkubali mkatae huo ndo ukweli. Hatuishi katika kipindi cha kusujudiana na kupeana amri tena!
Basi hakuna haja kabisa ya kuyarejelea hayo maandiko. Wawili wakubaliane maisha yao basi waendeleee.
Kwa hiyo waume wawapende wake zao; na wake wawatii waume zao? Kwa nini isiwe wote wapendane na kutiiana (mwishowe ntaandika matusi bure teh teh teh)? Kuna ubaya gani kwa mume kumpenda na kumtii mkewe na mke kumpenda na kumtii mumewe?
Basi ukiona huwezi kuyatumia hayo maandiko katika ujumla wake, hakuna haja ya kufanya hivyo. Maana utaondoa maana halisi sasa. Social teachings of religions do change from time to time ili kukidhi haja ya jamii ya binadamu kwa kipindi fulani.Wawili wakikubaliana ndani ya nyumba kuna mtu atakuja aweke msahafu mezani aseme kuwa maandiko yanasema hivi. Yale yako kwa sababu ni guiding lines kujua kuwa kuna kitu kama hicho ila sio lazima usome neno kwa neno na mstari kwa mstari
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.Kwa hiyo waume wawapende wake zao; na wake wawatii waume zao? Kwa nini isiwe wote wapendane na kutiiana (mwishowe ntaandika matusi bure teh teh teh)? Kuna ubaya gani kwa mume kumpenda na kumtii mkewe na mke kumpenda na kumtii mumewe?
Hapo ntatofautiana na wewe kabisaaaa....yaani niwe na upendo wa dhati afu nisimtii/kumheshimu mume? Bado haingii akiliniKwa mawazo yangu....... Mungu aliangalia ndani ya mioyo ........mwanamke kutii alijua tayari mwanamke anaupendo wa hali ya juu kinachokosekana ni utii ndio maana akasema amtii mumewe..........na mwanaume apende inamaa mwanaume upendo haupo ndani mwake........na ndio maana akasema na ampende mkewe
Basi ukiona huwezi kuyatumia hayo maandiko katika ujumla wake, hakuna haja ya kufanya hivyo. Maana utaondoa maana halisi sasa. Social teachings of religions do change from time to time ili kukidhi haja ya jamii ya binadamu kwa kipindi fulani.
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.
Kwani unadhani mfumo dume ulianzia wapi The Finest? No kwenye haya haya maandiko!NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.
NN what is confusing me ni kwanini mwanamke peke yake ndiye anayezungumziwa linapokuja suala la kutii either way, Je si inapaswa wote WAWILI mume na mke KUTII na KUHESHIMIANA au kwa vile mwanaume ndiye kichwa cha nyumba basi ndio maana mwanamke akaambiwa MTII mume wako.