Kabla ya Rais, Je, hakuna mtu mwingine aliyepaswa kumchukulia Sabaya hatua?

... mamlaka yake ya uteuzi ni Rais; hakuna mamlaka nyingine ingeweza kumchukulia hatua bila idhini ya Rais. In short, kwa hili la Sabaya wa kulaumiwa ni Rais; alizembea; alishindwa kutekeleza wajibu wake kwa wakati.
 
Mimi ninaomba kujulishwa hivi majuzi huyu Sabaya alienda mjengoni na wahishimiwa walimshangilia sana maana yake ilikuwa Nini? Au walikuwa wanapeleka ujumbe gani?
... hivi kule kuna watu wenye akili kweli?
 
Relax ndugu,tupo Kazini,utapata mrejesho hapa hapa,soma magazeti naendelea ku angalia TVs ....
 
Swali zuri maana UMMY MWALIM ana waumiza na kuwafundisha....
DED ummy hana mamlaka nao ila yy anapeleka tu mapendekezo kwa mamlaka za uteuzi then mamlka sasa ndio wataamua .mamlaka hapa ni TOP RANK PERSON in the Country
 
DED ummy hana mamlaka nao ila yy anapeleka tu mapendekezo kwa mamlaka za uteuzi then mamlka sasa ndio wataamua .mamlaka hapa ni TOP RANK PERSON in the Country
Kamsimamisha wa Kwetu Sengerema,nakutumia ujumbe kwa mmoja Wilaya Moja huko Kilimanjaro kwamba ajitafakari kama anatosha,kabla UMMY hajafika kule.
 
Kamsimamisha wa Kwetu Sengerema,nakutumia ujumbe kwa mmoja Wilaya Moja huko Kilimanjaro kwamba ajitafakari kama anatosha,kabla UMMY hajafika kule.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ’₯πŸ”¨ Ata wakomesha maana wana kera. Ila kiukweli hawa watu wana hitaji semina elekezi mweh ..yaan ni watu wana majukumu mazito.

Enzi za uhai wa hayati, ktk ziara yake moja kuna DED mmoja aliulizwa swali na mkuu kisha yule mama akkajibu eti sijui sababu mm nina maambo mengin nasimamia ....mkuu akamwambia usijibu ivyo mimi ww ....
 
Mlolongo unakua mrefu sana... Ila kwa Rais ni kauli moja tu...
 
Mh ile video ilitolewa baada ya kifo cha hayati rais lkn ninya siku nyingi kwa mujibu. Wa sabaya
Ndicho nnacho maanisha. Wakati wa utawala wa jiwe au hujaelewa? Huoni mama ni jasiri alikemea waziwzi wakati jiwe mwenyewe alikua hapendi na ni kama alikuwa anafurahishwa na namna akina sabai walikuwa wakiendesha mambo yao?
 
Hahahahahaa
 
Ndio maana tunataka ile Katiba yetu mpya kuondoa hii ya mtu mmoja kuteua kila nafasi ya uongozi. Lakini pia kufuta nafasi ambazo zipo kwa maslahi ya chama. Wakuu wa mikoa na wilaya hawaba kazi zaidi ya kusimamia maslahi ya chama.
 
Sabaya Alikua anatumwa Kama ambavyo Makonda, Musiba, Happi na Yule wa mbeya walivyokua wanatumwa. Huwezi kufanya yote yale waziwazi ukaendelea kubakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…