Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... hivi kule kuna watu wenye akili kweli?Mimi ninaomba kujulishwa hivi majuzi huyu Sabaya alienda mjengoni na wahishimiwa walimshangilia sana maana yake ilikuwa Nini? Au walikuwa wanapeleka ujumbe gani?
Swali zuri maana UMMY MWALIM ana waumiza na kuwafundisha....Kwani mamlaka ya uteuzi kwa wakurugenzi ni nani?
Hapo nisaidie mkuu
Mh ile video ilitolewa baada ya kifo cha hayati rais lkn ninya siku nyingi kwa mujibu. Wa sabayatena wakati wa utawala wa jiwe.
Relax ndugu,tupo Kazini,utapata mrejesho hapa hapa,soma magazeti naendelea ku angalia TVs ....Mkurugenzi Mkinga na naibu katibu TSC nadhani nao nimiongoni mwa wana wa mfalme.
TSC Mkinga ni Mnkande na Mnkande ni TSC Mkinga. Ofisi ameachiwa urithi na serikali. Anaiba na kuroga vibaya sana asiguswe. Sasa mchawi amevamiwa mtandaoni wizi na ubabe utakoma.
DED ummy hana mamlaka nao ila yy anapeleka tu mapendekezo kwa mamlaka za uteuzi then mamlka sasa ndio wataamua .mamlaka hapa ni TOP RANK PERSON in the CountrySwali zuri maana UMMY MWALIM ana waumiza na kuwafundisha....
Kamsimamisha wa Kwetu Sengerema,nakutumia ujumbe kwa mmoja Wilaya Moja huko Kilimanjaro kwamba ajitafakari kama anatosha,kabla UMMY hajafika kule.DED ummy hana mamlaka nao ila yy anapeleka tu mapendekezo kwa mamlaka za uteuzi then mamlka sasa ndio wataamua .mamlaka hapa ni TOP RANK PERSON in the Country
😃😃😃💥🔨 Ata wakomesha maana wana kera. Ila kiukweli hawa watu wana hitaji semina elekezi mweh ..yaan ni watu wana majukumu mazito.Kamsimamisha wa Kwetu Sengerema,nakutumia ujumbe kwa mmoja Wilaya Moja huko Kilimanjaro kwamba ajitafakari kama anatosha,kabla UMMY hajafika kule.
Ndicho nnacho maanisha. Wakati wa utawala wa jiwe au hujaelewa? Huoni mama ni jasiri alikemea waziwzi wakati jiwe mwenyewe alikua hapendi na ni kama alikuwa anafurahishwa na namna akina sabai walikuwa wakiendesha mambo yao?Mh ile video ilitolewa baada ya kifo cha hayati rais lkn ninya siku nyingi kwa mujibu. Wa sabaya
HahahahahaaNdicho nnacho maanisha. Wakati wa utawala wa jiwe au hujaelewa? Huoni mama ni jasiri alikemea waziwzi wakati jiwe mwenyewe alikua hapendi na ni kama alikuwa anafurahishwa na namna akina sabai walikuwa wakiendesha mambo yao?