Ninaombatu kuuliza kwamba kutokana na kuripotiwa kuvunjwa haki za binadamu na Utawala Bora.
Je, hakuna mamlaka ambayo ilitakiwa kumuwajibisha Sabaya hata kabla ya Rais?
Maovu ya Sabaya yalijulikana kama rushwa, kupora, kuharibu mali na biashara za watu, uvamizi kwenye hoteli za watu nk.
Kama yupo alipaswa angalau hata kumpa Sabaya onyo tu ukiachilia mbali IGP naomba tumjue ili mjadala uendelee
Karibuni wajuzi wa haya mambo