dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,483
Salaam,
Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za serikali, ushiriki wa kisiasa, na utamaduni pamoja na uhuru wa raia.
Mifumo mingi ya kisiasa Kusini mwa Jangwa la Sahara na Kaskazini mwa Afrika ni miongoni mwa nchi zenye kidemokrasia isiyolidhisha duniani.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina utawala wa kimabavu zaidi barani Afrika na ya pili duniani kote, baada ya Korea Kaskazini.
Nchi nyingine kama vile Cap Verde, Botswana, Afrika Kusini, Namibia, Ghana, na Lesotho zipo kwenye Serikali za mseto, zikiwa na alama kuanzia 6.3 hadi 7.65, inamanisha chaguzi zilizo na dosari zimeenea. rushwa na unyanyasaji wa wanahabari na vyama vya Upinzani.
Kulingana na Kielelezo cha Demokrasia, Tanzania ina alama 5.1 huku Korea Kaskazini ilikuwa nchi ya kidemokrasia kidogo zaidi ulimwenguni mnamo 2020. Nchi zinapewa alama kutoka 0 hadi 10 na alama karibu na 10 maana nchi ni ya kidemokrasia zaidi. Mnamo 2020, Korea Kaskazini ilikuwa 1.08, wakati Syria ilikuwa alama 1.43.
Chazo: Statista.com