D
DeletedMember281674
Guest
Wanabodi,
1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao.
2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike.
3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe.
4. Waliohusika kupiga risasi raia wa Tanzania wafahamike na wajiuzulu nafasi zao washitakiwe katika mahakama ya ICC siyo hizi za Tanzania.
5. Wafungwa wote wa kisiasa pamoja na Mh. Tundu Lissu achiliwe.
6. Watekaji wafahamike washitakiwe katika mahakama ya ICC.
NB: Hii itasaidia kupunguza Hasira za wanachi na kuweza kuliponya Taifa.
Nawasilisha