Kabla ya Tume ya Enquiry Haijaundwa - Haya Yafanyike kwa Haraka

Status
Not open for further replies.
D

DeletedMember281674

Guest
Wanabodi,

1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao.

2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike.

3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe.

4. Waliohusika kupiga risasi raia wa Tanzania wafahamike na wajiuzulu nafasi zao washitakiwe katika mahakama ya ICC siyo hizi za Tanzania.

5. Wafungwa wote wa kisiasa pamoja na Mh. Tundu Lissu achiliwe.

6. Watekaji wafahamike washitakiwe katika mahakama ya ICC.

NB: Hii itasaidia kupunguza Hasira za wanachi na kuweza kuliponya Taifa.

Nawasilisha
 
Nchi gani hiyo?
Nani atamfunga paka kengele?
 
Haya mambo ya kujitia kidole na kujinusa sisi hatuna wakakae wao huko sisi ni wanaume kweli kweli nyeusi ni nyeusi kukaa na tapeli upatane nae ni kujindanganya.
 
...Vunja TISS..na washitakiwe pia! km hawezi bc wananchi watamsaidia kufanya yote kuiweka nchi kwenye mstari.
 
Father langu ni moja tu hapakuwa na uchaguzi hatuwatambui.
 
Afute kazi ma RPC wa mikoa yote ilipata vurugu.

Staafisha kazi makamisha kadhaa wa jeshi la polisi.

Staafisha CDF na mnadhimu wake.

Wakuu wa mikoa na ma DC nao waende wakalime.

Ma OCS, nao kufuta kazi kbs.

Mkuu wa usalama na wakurugenzi wake wakale pensheni.

Kisha turudi kwenye mifumo sasa.
 
Tunahitaji uchaguzi ufanyike achabeni na huu ujinga.
 
Hili hajalizungumzia kabisa... anajifanya km hajui kwamba kuna maiti zimefukiwa sehemu kwa mafungu
Mkuu samahani

Ingekuwa wewe ungelizungumzia kwa namna ipi hili suala??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…