mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Spirit of the nation hii
Kinywaji hiki kina hadhi yake
Tafadhali acha kukidharau
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spirit of the nation hii
Spirit of the nation hii
Kinywaji hiki kina hadhi yake
Tafadhali acha kukidharau
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Poa tuSijakidharau Mkuu ila ni kinywaji cha Mbowe
Maneno ya kukata tamaa hayoHata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.
Mbowe kaanguka jana usiku wa manane.Madicteta Wote Uanguka Vibaya Sana. Angalia Nkurunzinza At 55yrs Kadondoka Bibi Yangu Yupo Na 93yrs Lakini Ukimuona Kajaa Tabasamu.Ni Swala La Muda Tu
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujaoMaandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."
Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.
Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena kabla ya uchaguzi mkuu.
Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.
Muda utasema.
Naunga mkono hojaLema aliwahi kupata maono kama haya na akaita waandishi wa habari akisema JPM atakufa kabla 2020 lakini uzuri ni kwamba maono ya kishetani huwa ni ngumu sana kutimia.
Leo na wewe pia umekuja na maono mengine ambayo nina hakika ni ya kishetani pia.
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Duh...!.Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."
Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.
Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena kabla ya uchaguzi mkuu.
Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.
Muda utasema.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Duh...!.
Mkuu Salary Slip, This is karma theory and it depends ni Mungu yupi kati ya Mungu na mungu!.
God operates in strange ways, kama huyu aliyepo ndie chaguo la Mungu kwa watu wake, baada ya watu hao kuteseka, kwa muda mrefu kwa nchi yao kufanywa ni shamba la bibi!, wakamlilia Mungu, akasikia kilio chao, akawaletea Mkombozi kuja kuwakomboa...
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Hivyo kama unasubiri ile ndoto ya Lema kutimia, then utasubiri sana!, maana ndio kwanza nyota inazidi kung'ara ngari ngari, sio tuu kwa Tanzania, kutaifa, bali Africa na kimataifa!.
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika
P
Wapi kamtaja jiwe?Lema aliwahi kupata maono kama haya na akaita waandishi wa habari akisema JPM atakufa kabla 2020 lakini uzuri ni kwamba maono ya kishetani huwa ni ngumu sana kutimia.
Leo na wewe pia umekuja na maono mengine ambayo nina hakika ni ya kishetani pia.
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Na iwe hivyo kama NkurunzinzaCCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Umekata tamaa! Mungu ni kwa wote. Kumbuka Waafrica waliuzwa utumwa kwa zaidi ya miaka 400! Je mungu alikuwa amewasahau? Au alikuwa anawapendelea wazungu na waarabu?Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."
Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.
Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena kabla ya uchaguzi mkuu.
Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.
Muda utasema.
Tena hawa wenye vyuma kwenye moyo!siamini kama ngurunzinza kaanguka, anybody can fall down
Si kweli muuaji atakufa kifo kibaya kama NkurunzinzaRais aliposema tufanye maombi kwa siku tatu ili Mwenyezi Mungu atunusuru na janga la corona mlimbeza hapa kuwa Mungu hayupo wala hawezi kusikiliza.
Leo unamuomba Mungu yupi hayo mambo ya kichawi? Amini nakwambia utatangulia wewe, Mwamba bado yupo sanaa
Kwanini Lema aliwekwa rumande kwasababu hiyo ili hali yale yalikuwa maono ya kishetani tu? Ujinga ni kudhani duniani ni mahali petu pa milele. Dhuruma mbaya ndiyo maana kila wakati watu wanakuwa na maono ya vifo kwa wenye kudhurumu. Mbona hawajawa na maono hayo dhidi yangu?Lema aliwahi kupata maono kama haya na akaita waandishi wa habari akisema JPM atakufa kabla 2020 lakini uzuri ni kwamba maono ya kishetani huwa ni ngumu sana kutimia.
Leo na wewe pia umekuja na maono mengine ambayo nina hakika ni ya kishetani pia.
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Kwa bahati mbaya sana hata hilo pigo likitokea bado upinzani hauwezi kutumia hilo 'gepu'.CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao