Uchaguzi 2020 Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, Mungu atatufuta machozi wapinzani kwa kuangusha mbuyu

Madicteta Wote Uanguka Vibaya Sana. Angalia Nkurunzinza At 55yrs Kadondoka Bibi Yangu Yupo Na 93yrs Lakini Ukimuona Kajaa Tabasamu.Ni Swala La Muda Tu
Bibi yako ameweka alama ipi duniani! Kwa miaka 15 Nkurunziza alikuwa Rais wa nchi.

Usilinganishe huyo bibi na mtu aliye tetea wananchi wake kwa Umahili mkubwa. Na kama huyo bibi yako yuko Burundi, basi amepata umri mkubwa kwa sababu ya kiongozi imara. Bila hivyo angekuwa amekufa kwa njaa, ugonjwa, mapigano, kushambuliwa na wasiojulikana n. k.
Lakini kama huyo bibi yupo Tanzania - basi amefikisha umri huo na tabasamu, sababu ya uongozi wa CCM.
 
Kwenye corona mlitaja Lockdown badala ya Mungu,!

Kwenye uchaguzi mnataja Mungu badala ya mikakati!

Always chadema ni fungu la kukosa.
 
Huyo jamaa ni mnafiki wa kupitiliza, anazunguka makanisa na kuhutubia madhabahuni akizionyesha kama mchamungu kumbe ni mwizi, muuaji , mtesaji na mshirikina mkubwa
 
Mleta mada toka uathiriwe kwa vyeti vya kufoji kwenye ajira serikalini naona kutwa unaweweseka
 
Huo ubunge hutapata!!
 
Mbona tunaanza kuchuriana?!.
Hata stage ya kwanza tuu ya kujiunga CCM bado, sasa huo ubunge nitaupatia wapi?
P
Nyinyi sio binadamu bali binadamu tu wenye umbo la bindamu ila nyinyi ni kitu tofauti na mwanadamu.Mmekuwa na roho za kishetani kutetea uovu kwa masilahi yenu ya kisiasa ila mjue iko siku na nyinyi mtaonja haya machungu wanayopitia wenzenu.
 

P unadhani walioinuliwa na Mungu hawawezi kushushwa? Soma Biblia ndugu yangu utaona kuna watu waliinuliwa na Mungu lakini wakajitukuza na kujipa utukufu na Mungu akawashusha kwa aibu kubwa sana. Ukiokoka haimaanishi huwezi kutenda dhambi tena.
 
P unadhani walioinuliwa na Mungu hawawezi kushushwa? Soma Biblia ndugu yangu utaona kuna watu waliinuliwa na Mungu lakini wakajitukuza na kujipa utukufu na Mungu akawashusha kwa aibu kubwa sana. Ukiokoka haimaanishi huwezi kutenda dhambi tena.
Mkuu Bursting, hili nalijua, tangu mfalme Nabukadreza, King David alichomfanya Uriah na kumtwaa mkewe Bathsheba na kumzalisha, Suleiman, na Mfalme Suleiman licha ya kupewa busara kuliko wote na utajiri kuliko wote, alipomuoa Queen of Sheba akabadili mawazo, najua Mungu alimfanya nini Suleimani.

Lakini kwa Tanzania, the Nabii wetu is still on track.
P
 
"ngumu sana KUTIMIA"
Eventually hutia na watu wakalipuka kwa shangwe na nderemo.

Siku ya siku ntakununulia dera jipyaaa! Chupi ununue mwenyewe😁😁😁
 
Asingefungwa yale maono yake yangetimia.
 
anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga


Haka ka sentensi kanazunguka sana akilini mwangu,sijui kwanini?
Na hakuna kitu kibaya kama kutafuta kusifiwa na watu kwa yale mazuri na mabaya uliyofanya na kuwapoteza wale wanaokukosoa..Mara nyingi mtu huyu huangukia pua.Pierre rest in peace! Mda ni mwalimu mzuri hapa kwetu.
 
Kwa ulivyojificha kwenye lugha wala hatajua maana ya ulilosema.

"is still ON TRACK" hatajua kuwa yuko kwenye queue 😁😁😁😁😁
 
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
Gaddafi, Castro, Mao, Lenin, na weengi walipita ambapo hata huyu hajagusa sema sisi tumezoea tayari miteremko, kwa binadamu hawa ukiendekeza hiyo demokrasia utapata maendeleo? Hata wapinzani wakipata madaraka wao kwa wao watabadilikiana rejea mifano ya nchi nyingi za kiafrika. Cha ajabu wengi Sana waliomdhihaki J.K leo ndiyo midomo kama chuchunge wakafunga makanisani na kuombaa Mungu akajibu. Kelele bado tu ENYI WAGALATIA NANI ANAWAROGA? Na tunasoma maandiko kuwa kila tawala huchaguliwa na Mungu Sasa subirini amalize si October tu naomba muache unafki mpigieni kura kwa wingi Antipas kisha msije kulia lia humu.
 
Dah si vyema kuwaombea wenzetu mikosi na balaa. Mungu ni hakimu wa haki, atafanya lile lililo la haki na litakalompendeza
 
Yaani aanguke akitoka ulevini na uzinzini halafu aonewe huruma? Mbona Joyce Mukya alikimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…