Kabla ya Ukristo na Uislam, waafrika walikuwa wanaabuduje??

Ukristo ulikuwepo afrika toka zamani
Orthodox wapo toka zamani
 
Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje?

Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje?

Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo??

Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa ndiyo inakuwa mwisho wake au Kuna maisha baada ya kifo??

Wao walikuwa na mitume Kama ilivyo kwa Waislamu au Wakristo?
Sahihisho?
Uislamu uliutangulia ukristo kuja Afrika.
 
Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje?

Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje?

Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo??

Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa ndiyo inakuwa mwisho wake au Kuna maisha baada ya kifo??

Wao walikuwa na mitume Kama ilivyo kwa Waislamu au Wakristo?
Mizimu wengine Miti mirefu. Miamba na mawe makubwa.
 
waliabudu mizimu na mashetani mbalimbali na miti n.k. wapagani wapo hadi leo, wasukuma kwa mfano wengi sana hadi leo wanaishi maisha yaleyale ya kale. sio waislam wala wakristo.
 
Back
Top Bottom