Kabla ya Ukristo na Uislam, waafrika walikuwa wanaabuduje??

Ukristo ulikuwepo afrika toka zamani
Orthodox wapo toka zamani
 
Sahihisho?
Uislamu uliutangulia ukristo kuja Afrika.
 
Mizimu wengine Miti mirefu. Miamba na mawe makubwa.
 
waliabudu mizimu na mashetani mbalimbali na miti n.k. wapagani wapo hadi leo, wasukuma kwa mfano wengi sana hadi leo wanaishi maisha yaleyale ya kale. sio waislam wala wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…