Kabrasha chumba cha kunyongea

Bado tabu iko pale pale "kwenye suala la ukataji roho" sakaratul maut"
 
Endelea kuishi vzuri na wale wanaokuzunguka kila siku "show luv to each other
Naogopa hicho kifo kibaya cha adhabu. Namuomba Mungu nife peaceful nikiwa nmezungukwa na wapendwa wangu
 
Daah afadhali hawa kunyongwa daah
 
Mshukuru mungu kwa kuwa ana malengo mengine na ww mazuri isitoshe logical mwishowe huwa mbaya sana kaz ya kuua wenzio sio jambo dogo mkuu
Hao ni waliohukumiwa kwa makosa waliyoyatenda
Na anaekusanya ushahidi na mpaka kufikia kwa anaetoa hukumu ya kifo
Hapo muuwaji ni kumalizia tu maana hukumu tayari
 
Kikishindikana kitanzi kama kuteleza ama kushindwa kunyonga kuna nyundo kama rungu, unapigwa utosini moja tu, kama bado basi sindano ya sumu (ndio maana huwepo madaktari wa kuthibitisha kifo ama wa kukumalizia)
Kuna vitu viwili katika hukumu ya kunyongwa
.kunyongwa hadi kufa (ndio umejibu hapa)
.kuhukumiwa kunyongwa(sio lazima ufe,ukipona hawarudii)
 
Kuna vitu viwili katika hukumu ya kunyongwa
.kunyongwa hadi kufa (ndio umejibu hapa)
.kuhukumiwa kunyongwa(sio lazima ufe,ukipona hawarudii)
Kuhukumiwa kunyongwa ni mchakato ambao unaweza kubatilishwa kama rufaa ikikatwa na kukubalika ama kwa msamaha wa rais.... Lakini hati ya kifo ikishasainiwa na ukapangiwa siku ya kunyongwa na ukaingizwa 'condemned room' hakuna rivasi ndugu yangu... Huko hutoki tena
 
Yawezekana uelewa wangu mdogo
Ila najua kuna KUNYONGWA na Kunyongwa hadi kufa ambapo zote zinasaini ya kifo lakini zinautofauti katika utekelezaji
Namaanish ukihukumiwa kunyongwa hadi kufa ni lazima ufe hata kama ukipna mara ngapi Kwenye kitanzi,
Lakini unanyongwa na kitanzi kikaktika unahesabiwa umenyongwa na si lazima ufe kabisa kama ilivyo hati ya kunyongwa hadi kufa.

Sema ufanano unakuja kwa sababu ukinyongwa ni lazima ufe tu hzo za vitanzi kukata au umeme kukatika katikati ya kazi na ukabaki mzima ni nadra kutokea katika hukumu hizo mbili
stroke
 
Sawa ila nimeshangazwa na mialiko wako kwa mwana Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…