zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Si unakua umeua, lazima ujitetee na weweUsanii mtupu sasa mashitaka wanakuwa wanamfungulia ya nini mnyongaji😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unakua umeua, lazima ujitetee na weweUsanii mtupu sasa mashitaka wanakuwa wanamfungulia ya nini mnyongaji😂😂
Wakati sheria ndo imekuruhusu kuua! Basi na rais awe anashitakuwa kwa kutia saini.Si unakua umeua,lazima ujitetee na wewe
Wanachotaka useme tu umeua kwa mujibu wa Sheria ,Kisha unaondoka zangu,Wala hamna kucomplicate mamboWakati sheria ndo imekuruhusu kuua! Basi na rais awe anashitakuwa kwa kutia saini.
Labda aseme Sheria ibadilishweAshtakiwe na nani? Maana hiyo ipo kikatiba na kisheria
Tunaweza kubadili sheria zetuAshtakiwe na nani? Maana hiyo ipo kikatiba na kisheria
Sijui huyo mzee yupo wapi but niliyemsikia mimi akihojiwa yupo Swaswa -Dodoma alichoongea Mshana Jr yupo sahihiMkuu hiyo ya mnyongaji kupombeka usiku kucha sijui kama nimekuelewa..
Maana kuna mnyongaji (mtaani ni maarufu kama nyonganyonga) mstaafu tuko nae kitaa,
Kunyonga kwake mbona haihitaji mbwembwe zozote (kulingana na maelezo yake) kama hizo za kupombeka usiku kucha..
Anadai mwisho alikuwa peke yake maana sio kila gereza tz lilikuwa lina kitanziSijui huyo mzee yupo wapi but niliyemsikia mimi akihojiwa yupo Swaswa -Dodoma alichoongea Mshana Jr yupo sahihi
Anasema tena yeye ndio wa mwisho ktk kazi hiyo kwa hapa tz mpka tulipoacha sijui kupumzika
Anadai mwisho alikuwa peke yake maana sio kila gereza tz lilikuwa lina kitanzi
So yeye ndio alikuwa akisafirishwa
Adhabu ya kifo ifutwe.Kumbe hata wanyongaji wenyewe hawako sawa kisaikolojia, si wafute tu hiyo aidhabu.
Kama bado hujastaafu, endelea na hizo mbili za mwanzoni lakini ya mwisho achana nayo hata kama malipo yatapungua. Ni ushauri tu lakini.[emoji23][emoji23][emoji23]mfanyakazi chumba cha mahututi
Mhudumu chumba cha maiti
Msaidia kufisha wanaogoma kufa
Kuna binadamu wakatili sanaAisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
Halafu huwezi kuamini hiyo ya mwisho ndio naipenda zaidi [emoji23]Kama bado hujastaafu, endelea na hizo mbili za mwanzoni lakini ya mwisho achana nayo hata kama malipo yatapungua. Ni ushauri tu lakini.
Kibo chano ndesi mashikoro mageni!Halafu huwezi kuamini hiyo ya mwisho ndio naipenda zaidi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2]kwanini sassKibo chano ndesi mashikoro mageni!
Mpaka nimetumia lugha nisizozijua, ujue nimeshtuka na kushangazwa sana.
Ya sindano ya sumu inachukua muda mfupi sana.Wanachanganya kemikali mbili sodium pancuroamina na potassioum chloride.Ya sindano ya sumu ina mchakato mrefu sana...hadi mtu afe anapitia mateso saanaa......
Kunyongwa
Sindano ya sumu
Kupigwa shoti ya umeme(electrocution)...
Kuzamishwa majini(drowning)
....kipi ni cha maumivu zaidi!?