Kabrasha chumba cha kunyongea

Kabrasha chumba cha kunyongea

Mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana mshana nimekuita nmar 16 broo w,angu!
 
Mkuu hiyo ya mnyongaji kupombeka usiku kucha sijui kama nimekuelewa..
Maana kuna mnyongaji (mtaani ni maarufu kama nyonganyonga) mstaafu tuko nae kitaa,

Kunyonga kwake mbona haihitaji mbwembwe zozote (kulingana na maelezo yake) kama hizo za kupombeka usiku kucha..
Sijui huyo mzee yupo wapi but niliyemsikia mimi akihojiwa yupo Swaswa -Dodoma alichoongea Mshana Jr yupo sahihi
Anasema tena yeye ndio wa mwisho ktk kazi hiyo kwa hapa tz mpka tulipoacha sijui kupumzika
Anadai mwisho alikuwa peke yake maana sio kila gereza tz lilikuwa lina kitanzi
So yeye ndio alikuwa akisafirishwa
 
b78c4a887b0d85b486033bdb8e02aba0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui huyo mzee yupo wapi but niliyemsikia mimi akihojiwa yupo Swaswa -Dodoma alichoongea Mshana Jr yupo sahihi
Anasema tena yeye ndio wa mwisho ktk kazi hiyo kwa hapa tz mpka tulipoacha sijui kupumzika
Anadai mwisho alikuwa peke yake maana sio kila gereza tz lilikuwa lina kitanzi
So yeye ndio alikuwa akisafirishwa
Anadai mwisho alikuwa peke yake maana sio kila gereza tz lilikuwa lina kitanzi
So yeye ndio alikuwa akisafirishwa[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mfanyakazi chumba cha mahututi
Mhudumu chumba cha maiti
Msaidia kufisha wanaogoma kufa
Kama bado hujastaafu, endelea na hizo mbili za mwanzoni lakini ya mwisho achana nayo hata kama malipo yatapungua. Ni ushauri tu lakini.
 
Aisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
Kuna binadamu wakatili sana
 
Ya sindano ya sumu ina mchakato mrefu sana...hadi mtu afe anapitia mateso saanaa......
Ya sindano ya sumu inachukua muda mfupi sana.Wanachanganya kemikali mbili sodium pancuroamina na potassioum chloride.
Potassium chloride kazi yake ni kwenda kuupiga moyo shoti kwa muda mfupi sana.Sodium pancuroamine kazi yake ni kusimamisha maumivu
Kunyongwa

Sindano ya sumu

Kupigwa shoti ya umeme(electrocution)...

Kuzamishwa majini(drowning)
....kipi ni cha maumivu zaidi!?
 
Back
Top Bottom