prof uchwara
Mungu ndiye aliyeamuru maelfu ya Watanganyika wauwawe kwa risasi za polisi ili Samia atangazwe kuwa rais?
Ukisoma biblia kuna mfalme aliitwa yehu mwana wa yehoyada alikaa madarakani kwa damu , na ikaandikwa ametumwa na Mungu kufanya hivyo , ukishaweka imani unafungwa na hautaa kuwa na cha kujibuukae madarakani kwa kumwaga damu za watu, uteke na kutesa na kwaiwashtaki kwa uongo, Kisha useme Mungu
shit hope !!!
Kabudi acha ujinga na upuuzi wa kufikiri kwa kutumia tumbo!Hata akipindua serikali tumtii? aiiba kura tumtiii eti kaletwa na Mungu? shetani naye tumtii kwa vile kaletwa na Mungu?
Kabudi: kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Mungu alikuwa akidili na Taifa la Israeli kitofauti kabisa. Walikuwa wakimwacha anawatafutia adhabu. Eidha kuwapeleka utumwani ama kuwapatia Mfalme katili.Ukisoma biblia kuna mfalme aliitwa yehu mwana wa yehoyada alikaa madarakani kwa damu , na ikaandikwa ametumwa na Mungu kufanya hivyo , ukishaweka imani unafungwa na hautaa kuwa na cha kujibu
Imani ina penyo nyingi za kujitetea , nae katumwa na Mungu , na kuwekwa n mungu utabisha nini sasaMungu alikuwa akidili na Taifa la Israeli kitofauti kabisa. Walikuwa wakimwacha anawatafutia adhabu. Eidha kuwapeleka utumwani ama kuwapatia Mfalme katili.
hapa kwetu ni manguvu tu ya mapepo
What a sonofabitch!
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."