Kabudi: Mungu akishawapa kiongozi, mumpende mumheshimu, hakujileta mwenyewe

Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
 
Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    Screenshot_20211029-110122.png
    559.1 KB · Views: 12

Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
U Profesa aliupataje jamani kaa akili hizi loh
 
Mungu anasingiziwa vitu vingi,was it necessary to mention God?,..usitaje bure jina la BWANA Mungu wako,kwani BWANA hataacha kumuhesabia hatia mtu alitajaye jina lake BUREE in VAIN

kulikuwa kuna alternative nyingi za kumpamba na kumsifia mama yao bila kutaja jina la MUNGU,..sijapenda
 
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Kwanza athibitishe Mungu yupo.
 
Wakishaua maelfu ya Raia ili waendelee kusalia madarakani ndio yanaanza kujidai kumtaja Mungu.

This is stupidity beyond repair.

Wanasiasa wakisha kosa hoja za kushawishi wananchi wanaanza kumtumia huyo Mungu kupumbaza watu.

Kwa vile majority ya wananchi wanaamini kwenye habari uchwara za huyo Mungu. Wana aminishwa upumbavu kwamba viongozi huletwa na Mungu.

Watu waamke waache kupumbazwa kifala.

Hakuna Mungu anayetoa viongozi.

Huyo Mungu hayupo.
 
naunga mkono hoja hakukuwa na haja ya kumtaja MUNGU,maandiko yansema usitaje bure jina la MUNGU.
 
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Ili Zee liongo Samweli alimwambia live Samweli kuwa Mungu amekukataa usiwe mfarume wa Israel

Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Ili Mzee mwongo sana, Mungu alimkataa Sauli, pasipo kuficha kupitia Nabii Samweli (
1 Samweli 15:23
Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme. ) Samia naye amekataliwa na Mungu, hauwezi Kuhuwa maelufu ya watu hivyo halafu heti watu wampende,Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Samia damu alizozimwaga October 29 lazima zitamlilia mpaka anashuka kaburini,hakamwangalie Salim Amour,Mzanzibar mwenziwe aliua Wazanzibari wenziwe maisha anayoyaishi Sasahivi ndio mtajua.Mu ngu hawezi kunyamaza ngoja muone.
 
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Kabudi anaizungumzia mungu yupo? (Labda mungu wa kizimkazi mana ndiye katili kuliko wote hapa nchini)
Mtu anaamuru watu wauwawe Kisha yeye huyo anataka maridhiano?
Anawalaumu waliomshauri kabla ya mauaji?
Kutoka masijala bayana Hadi ikulu imejiridhihirisha
 
Kama unamuamini mungu huwezi kupinga
 
Mungu yupi huyo anayezungumziwa hapa, hebu acheni kufuru basi. Mwenyezi Mungu kamwe hawezi kuleta kiongozi kwa njia ya kumwaga damu za watu wake, na baado hata sasa damu zinaendelea kumwagika na vitisho vya kupita kiasi kwa raia wa nchi yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom