Upendo wa kuforce haunogi. Let it flow naturally!
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Mungu yupi?Imani ina penyo nyingi za kujitetea , nae katumwa na Mungu , na kuwekwa n mungu utabisha nini sasa
Wapo wangapi kwaniMungu yupi?
Hili Swali linahitai tafakri ya kiroho.Kama ni Ndi Je tumkatae Mungu?Kama ni hapana Je kwa nini aliruhusu?Mungu ndiye aliyeamuru maelfu ya Watanganyika wauwawe kwa risasi za polisi ili Samia atangazwe kuwa rais?
sisi wa rohoni tunajua. maana wapo wanaomwita shetani kuwa ni mungu. kwa mantiki hiyo ni sawa. huyu mama amewekwa madarakani na mungu sio Mungu,Imani ina penyo nyingi za kujitetea , nae katumwa na Mungu , na kuwekwa n mungu utabisha nini sasa
Hii mijitu sijui imelogwa!?
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Hakuna cha Mungu , watu wanapaswa mafanye maamuzi kwa akili mkishaanza hizo mambo za kutegemea sijui nini hakuna mabadiliko mtaonasisi wa rohoni tunajua. maana wapo wanaomwita shetani kuwa ni mungu. kwa mantiki hiyo nini sawa. huyu mama amewekwa madarakani na mungu sio Mungu
Kwa hiyo siku hizi policcm na tumeccm ndiyo miungu yetu! Maana hawa ndiyo waliomuweka! Huyu kweli ni profesa wa jalalani.
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Bwashee kumbe uko vizuri pia kwenye Neno la Mungu. Kuna watu wanaweza kufikiri muda mwingi unapiga maji tu.Ukisoma biblia kuna mfalme aliitwa yehu mwana wa yehoyada alikaa madarakani kwa damu , na ikaandikwa ametumwa na Mungu kufanya hivyo , ukishaweka imani unafungwa na hautaa kuwa na cha kujibu
ni sawa, Yale mambo yaliyo katika uwezo wetu ni muhimu tukayafanyia kazi kikamilifu. pasi na woga!Hakuna cha Mungu , watu wanapaswa mafanye maamuzi kwa akili mkishaanza hizo mambo za kutegemea sijui nini hakuna mabadiliko mtaona
Tena sana sio kidogo , tulisha enda mpa Israel kwa ziara ya kidini 😆Bwasheee kumbe uko vizuri pia kwenye Neno la Mungu. Kuna watu wanaweza kufikiri muda mwingi unapiga maji tu.
Hawa viongozi wanaona wananchi kama matako vile
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Angefanya uchafuzi wa haki