Kabudi: Mungu akishawapa kiongozi, mumpende mumheshimu, hakujileta mwenyewe

Huyo mungu aliwapa hao watu huyo wanayemtaja kama doctor lini?
 
Upendo wa kuforce haunogi. Let it flow naturally!
 
Mtu ameupata uongozi kwa njia za kishetani, halafu tunasema eti kaletwa na Mungu. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu. Huyu ameletwa na shetani, kupitia vitendo vya kishetani, vitendo vua kuua watu. Ajue kuwa kwa kumwaga damu kwaajili ya tamaa ya uongozi, yeye na walioshirikiana naye katika huo ushetani, wamebeba laana kubwa, wao na wazao wao.
 
Kwa hiyo siku hizi policcm na tumeccm ndiyo miungu yetu! Maana hawa ndiyo waliomuweka! Huyu kweli ni profesa wa jalalani.
 
Ukisoma biblia kuna mfalme aliitwa yehu mwana wa yehoyada alikaa madarakani kwa damu , na ikaandikwa ametumwa na Mungu kufanya hivyo , ukishaweka imani unafungwa na hautaa kuwa na cha kujibu
Bwashee kumbe uko vizuri pia kwenye Neno la Mungu. Kuna watu wanaweza kufikiri muda mwingi unapiga maji tu.
 
Hakuna cha Mungu , watu wanapaswa mafanye maamuzi kwa akili mkishaanza hizo mambo za kutegemea sijui nini hakuna mabadiliko mtaona
ni sawa, Yale mambo yaliyo katika uwezo wetu ni muhimu tukayafanyia kazi kikamilifu. pasi na woga!

ila ukweli uko palepale kuwa huwa kuna nguvu ituzidiyo ambayo huwa ni negative ama positive. hapa ndiko anakotajwa shetani na Mungu
 
Hawa viongozi wanaona wananchi kama matako vile
 
Angefanya uchafuzi wa haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…