a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
this is powerful📌 this is too deep📌Kabudi acha ujinga na upuuzi wa kufikiri kwa kutumia tumbo!Hata akipindua serikali tumtii? aiiba kura tumtiii eti kaletwa na Mungu? shetani naye tumtii kwa vile kaletwa na Mungu?
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
U Profesa aliupataje jamani kaa akili hizi loh
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
this is too deepSamia ni chaguo la mapolisi, Tiss na jeshi. Ndio maana hata kuapishwa alienda kuapishiwa kwenye kambi ya jeshi
Kwanza athibitishe Mungu yupo.
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
naunga mkono hoja hakukuwa na haja ya kumtaja MUNGU,maandiko yansema usitaje bure jina la MUNGU.Wakishaua maelfu ya Raia ili waendelee kusalia madarakani ndio yanaanza kujidai kumtaja Mungu.
This is stupidity beyond repair.
Wanasiasa wakisha kosa hoja za kushawishi wananchi wanaanza kumtumia huyo Mungu kupumbaza watu.
Kwa vile majority ya wananchi wanaamini kwenye habari uchwara za huyo Mungu. Wana aminishwa upumbavu kwamba viongozi huletwa na Mungu.
Watu waamke waache kupumbazwa kifala.
Hakuna Mungu anayetoa viongozi.
Huyo Mungu hayupo.
Ili Zee liongo Samweli alimwambia live Samweli kuwa Mungu amekukataa usiwe mfarume wa Israel
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Ili Mzee mwongo sana, Mungu alimkataa Sauli, pasipo kuficha kupitia Nabii Samweli (
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Kabudi anaizungumzia mungu yupo? (Labda mungu wa kizimkazi mana ndiye katili kuliko wote hapa nchini)
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hakujileta mwenyewe, hakujisukuma mwenyewe..."
Prof ,proper ganda kabudiNdio maana alikuwa jalalani. Very stupid
Hongera sana.Tena sana sio kidogo , tulisha enda mpa Israel kwa ziara ya kidini 😆