Kabudi: Mungu akishawapa kiongozi, mumpende mumheshimu, hakujileta mwenyewe


Wizi wa kura nao Mungu kaleta
 
Mzee wa Jalalani katika ubora wake.
 
na mungu akikupa kiongozi anahakikisha wote wanaokula majalalani wanapanda high table
 
Kuna Mungu WA Ki- shetani na Mungu anayepingana na ushetani. Sasa huyu Kiongozi wa Prof wa Jalalani ni WA shetani au Mwenye kupinga ushetani.

Kama aliyepewa Ni wa upande wa Shetani, basi lazima ajue atapingwa na Mungu mwenye kupenda Haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…